MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Wakuu habari zenu.....
Gwajima jana tar 24 ameitisha pree na kuongea mambo kadha wa kadha.
Katika mengi aliyoyaongea Gwajima jambo moja juu ni hili.
Gwajima amekuja kutuonyesha kwamba sisi WATANZANIA tunataka ukombozi lakini tunatumia njia ambayo siyo sahihi kuitafuta ukombozi huo.
Gwajima amevitetea vyombo vya usalama na kuonyesha kwamba navyo vinashinikizwa na Mkuu au wakuu wao.
Kwahiyo hoja ya msingi ya Gwajima ni kwamba ili tupate ukombozi kwanza tuanze na kuvitafutia uhuru hivi vyombo vya kiusalama viwe huru kwa asilimia 100 hapo basi vitasimama na ukweli na baada ya hapo haki itapatikana.
Amesema kwamba, ikitokea afisa wa usalama ametenguliwa basi zitolewe sababu za msingi ni kwanini ametenguliwa na sababu hizo zisiwe zimeegamia kwenye maslahi binafsi ya mtu aliyemtengua.
Naomba kuwasilisha.