The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kanisa ni jengo, ndio maana bar haiwezi kuitwa kanisa.unaelewa maana ya kanisa wewe lofa
Chadema wameshindwa kujenga makao makuu ya chama, watatusaidia nini?Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe?
Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni kanisa unashangaa, kama kambi ya wakimbizi halafu mtu huyo anatuahidi maendeleo kawe.
Hebu tuwe serious kidogo basi.
Kanisa ni watu ndugu.Kanisa ni jengo, ndio maana bar haiwezi kuitwa kanisa.
Ccm ambao kwa miaka 60 wamekua wakizalisha ufukara, umasikini wa kupindukia, magonjwa, ujinga na utaahira kama wewe watatusaidia nini kama miaka 60 wameshindwa kufanya jambo lolote la maana?Chadema wameshindwa kujenga makao makuu ya chama, watatusaidia nini?
kwaiyo bar sio jengo?Kanisa ni jengo, ndio maana bar haiwezi kuitwa kanisa.
Ndivyo unavyojidanganya?
Lete picha tulione
We mpumbavu labda kijijini kwenu ndio masikini, kijijini kwenu ndio kuna magonjwa na utapiamlo, Eti unashangaa Gwajima kwa kutojenga kanisa halafu inashindwa kushangaa why Chadema wameshindwa kujenga makao makuu ya chamaCcm ambao kwa miaka 60 wamekua wakizalisha ufukara, umasikini wa kupindukia, magonjwa, ujinga na utaahira kama wewe watatusaidia nini kama miaka 60 wameshindwa kufanya jambo lolote la maana?
Leo miaka 60 mnakuja kutuambia daraja ni maendeleo, kwamba kujenga daraja la ubungo ni maendeleo, kununua ndege ni maendeleo?
Ndio maana unashabikia ccm kwa sababu huna akili. Unaweza kulinganisha jengo la chadema na maendeleo ya nchi? Ccm imetaahirisha wazazi wako, wamekuzaa wewe product ya utaahira ni mwendo ule ule. Mko kwenye vicious circle of foolishness. Ni vigumu sana kutoka. Niombe nizalishe mtoto hapo kwenye mpate mtu wa kuvunja hiyo circleWe mpumbavu labda kijijini kwenu ndio masikini, kijijini kwenu ndio kuna magonjwa na utapiamlo, Eti unashangaa Gwajima kwa kutojenga kanisa halafu inashindwa kushangaa why Chadema wameshindwa kujenga makao makuu ya chama
Kama kambi ya wakimbizi. Eti watu wanasalia humo kama kanisa.Hili kanisa au gulio ?.
unaelewa maana ya kanisa wewe lofa
Juzi alikua kwenye msiba wa mkapa, alishindwa kumfufua? Halafu kuna watu wanamuamini eti ataifufua ccm.Atawafufua waliolala ujingani🤣🤣.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️