Uchaguzi 2020 Gwajima ameshindwa kujenga jengo la kanisa, atatusaidia nini sisi watu wa Kawe?

Uchaguzi 2020 Gwajima ameshindwa kujenga jengo la kanisa, atatusaidia nini sisi watu wa Kawe?

Anataka kuwaletea utaalam wake wa uchezaji sinema za utupu na kondoo wake
IMG_20200821_175230.jpg
 
Muulize huyo Mlaji wa mivutu anyaegombea ubunge na huku anajifanya kutumikia mabwana wawili
wewe unatumikia mabwana wangapi? unahisi ukimchukia ndio utapunguza ugumu wa maisha ulionao
 
Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe?

Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni kanisa unashangaa, kama kambi ya wakimbizi halafu mtu huyo anatuahidi maendeleo kawe.

Hebu tuwe serious kidogo basi.
Hawa watu walioanzisha makanisa yao kama mitume na manabii wana siri wanazozijua wenyewe.
Waumini wa Gwajima walikuwa wanasalia kwenye viwanja vya wazi pale Tanganika packers, jua lao mvua yao. Wakati huo akanunua helkopta Ths bilion 7, akasema itasaidia kwenye maafa. Akafukuzwa pale akarudi Ubungo kwenye mapagale yake ya zamani, akatangaza anataka kununua treni kwa ajili ya biashara ya usafirishaji abiria na mizigo, nafikiri wazo hilo bado analo.
Lakini yote hayo kanisa hana mpango wa kujenga, kwa nini?
 
nnachofahamu mimi huwezi kuwa na akili timamu na unayemuogopa MUNGU ukawa ssm lazima uwe na manufaa huko au upo kulinda jambo lako
 
Ccm ambao kwa miaka 60 wamekua wakizalisha ufukara, umasikini wa kupindukia, magonjwa, ujinga na utaahira kama wewe watatusaidia nini kama miaka 60 wameshindwa kufanya jambo lolote la maana?

Leo miaka 60 mnakuja kutuambia daraja ni maendeleo, kwamba kujenga daraja la ubungo ni maendeleo, kununua ndege ni maendeleo?
Wakati huo Kenya wanaanza kuuza magari yao wenyewe mwaka huu mwishoni sisi tunashangilia daraja
 
Chadema imeshindwa kujenga ofisi za Chama itawasaidiaje watanzania?

Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe?

Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni kanisa unashangaa, kama kambi ya wakimbizi halafu mtu huyo anatuahidi maendeleo kawe.

Hebu tuwe serious kidogo basi.
 
Chadema imeshindwa kujenga ofisi za Chama itawasaidiaje watanzania?
Ccm iliyoshindwa kuondoa umasikini kwa watanzania miaka 60 haiwezi kuwasaidia hata ikipewa miaka 700.

CCM ilichokifanya kwa miaka 60 ni kuwafukarisha Watanzania, hakuna zaidi.
 
Back
Top Bottom