domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,548
- 1,729
wewe umejuaje kuwa sababu ni ushindani wa kisiasa?Hivi inakuwaje mtu unadiriki kutaka kutoa roho ya binadam mwenzako simply kwa sababu ya ushindani wa kisiasa!!?
Kutabiri ni kutambua mambo ya ghaibu kitu ambacho binadam yeyote hana huwezo nacho hisipokuwa kutumia nguvu ya giza.
Hata siku moja sitoamini utabiri wa yeyote anayeitwa binadam.