wewe umejuaje kuwa sababu ni ushindani wa kisiasa?Hivi inakuwaje mtu unadiriki kutaka kutoa roho ya binadam mwenzako simply kwa sababu ya ushindani wa kisiasa!!?
Kutabiri ni kutambua mambo ya ghaibu kitu ambacho binadam yeyote hana huwezo nacho hisipokuwa kutumia nguvu ya giza.
Hata siku moja sitoamini utabiri wa yeyote anayeitwa binadam.
Kwani Picha niyalini?Huyu Lowasa naona bado ana mapenzi makubwa sana na CCM. Angalia kitambaa mkononi kama bendera ya CCM. Kweli Fisi siku zote ni fisi habadiliki kuwa Mbwa.
Huamini utabiri wa kifo , ila unaamini kwamba wanasiasa wanataka kuuana kutokana na watabiri hao hao?Hivi inakuwaje mtu unadiriki kutaka kutoa roho ya binadam mwenzako simply kwa sababu ya ushindani wa kisiasa!!?
Kutabiri ni kutambua mambo ya ghaibu kitu ambacho binadam yeyote hana huwezo nacho hisipokuwa kutumia nguvu ya giza.
Hata siku moja sitoamini utabiri wa yeyote anayeitwa binadam.
Hivi inakuwaje mtu unadiriki kutaka kutoa roho ya binadam mwenzako simply kwa sababu ya ushindani wa kisiasa!!?
Kutabiri ni kutambua mambo ya ghaibu kitu ambacho binadam yeyote hana huwezo nacho hisipokuwa kutumia nguvu ya giza.
Hata siku moja sitoamini utabiri wa yeyote anayeitwa binadam.
Uliwahi kusikia wapi duniani DINI inafutwa?Hii dini nashauri ifutwe,,,maana mataperi wanaibuka kila uchao
Gwajima yaelekea neno la Mungu halijui:-Mchungaji huyo alitabiroi kuwa Lowassa atafariki dunia na Uchumi wa Tanzania utakuwa na hali mbaya miaka ijayo, Gwajima amempelekea ujumbe akimtaka akae kimya upesi
LOWASSA burianiMchungaji huyo alitabiroi kuwa Lowassa atafariki dunia na Uchumi wa Tanzania utakuwa na hali mbaya miaka ijayo, Gwajima amempelekea ujumbe akimtaka akae kimya upesi