Gwajima anaanza kuchanganyikiwa na kujichanganya

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1755363257156.png

Kwa waliosikiliza kwa makini taarifa ya Mathias Gwajima watagundua yafuatayo:

Mosi, Gwajima ni tapeli wa kawaida aliyejificha nyuma ya dini na sasa siasa ambapo anaanza kujiumbua kwa kuonyesha sura na tabia zake halisi.

Pili, Gwajima ameanza kuchanganyikiwa kiasi cha kujichanganya akilenga kuwachanganya wengine wamuunge mkono wakati hafai sawa na tapeli yeyote wa kidini na kisiasa. Gwajima akubali. Arobaini zake zimefika na amezisababisha mwenyewe.

Hivyo, asiwalaumu wengine bali ajilaumu hasa kwa domo lisilowasiliana na ubongo kabla ya kupayuka.

Tatu, Gwajima ana hasira na kisasi dhidi ya CCM jambo ambalo linamtoa nje ya ulingo wa kisiasa. Mwanzoni alisema kuwa hakuamini kuwa CCM, serikali yake, na vyombo vya dola vilikuwa vinahusika na utekaji. Juzi, kajipiga mtama na kuishutumu CCM moja kwa moja asijue ndo aliharibu kabisa. Kimsingi, Gwajima hana uwezo wa kiakili wa kujadili mambo mazito anayojitahidi kujadili bila mafanikio.

Nne, Gwajima ni kilaza anayewaita wenzake vilaza. Mfano, katika maneno yake, alisema kuwa Mfalme Henry VIII wa Uingereza alikuwa kasisi wa Kanisa Katoli jambo ambalo si kweli. Historia ya Mfalme Henry VIII inamuonyesha kama Mfalme wa Uingereza aliyelitaka Kanisa Katoliki kubatilisha ndoa yake na Malkia

Catherine wa Aragon jambo ambalo Papa alilikataa na kusabisha Henry VIII ajitenge na kanisa na kuanzisha Kanisa la Kianglicana. Hivyo, si kweli kuwa Mfalme Henry VIII alikuwa kasisi.

Tano, Gwajima anadai kuwa wakristo wote ni wakatoliki. Huu nao ni uzushi wa kupigiwa mfano. Watakuwaje wakatoliki wakati walijitenga na kanisa hili na kuanzisha makanisa yao.

Sita, bila mafanikio, Gwajima anajifanya kumtetea padri Charles Kitima pale aliposhambuliwa na "watu wasiojulikana." Wenye akili na kumbukumbu wanajiuliza : Mbona hakuyasema haya wakati Kitima aliposhambuliwa?

Saba, Gwajima anaonyesha viwango vya juu vya unafiki na ubabaishaji. Huwezi kumlaumu Samia lakini ukamnyamazia aliyemtengeneza yaani Magufuli. Kwa muda wote, Gwajima alikuwa wapi?

Nane, Gwajima anatapatapa akijitahidi kuwatetea wapinzani. Mfano, aliongelea miujiza ya Tundu Lissu 'kumeza' risasi 16.

Ukweli ni kwamba Lissu hakumeza risasi hata moja bali alimiminiwa risasi 16. Wengi wenye kumbukumbu wanashangaa kwanini Gwajima amtetee Lissu sasa na siyo wakati aliposhambuliwa tena chini ya muungu wa Gwajima wa kisiasa yaani Marehemu John Pombe Magufuli aliyemfinyanga kwa kumdhulumu mtoto wa dada yake?

Tisa, licha ya kuwa kilaza wa kunuka anayejitia usomi asiokuwa nao, Gwajima ni zwazwa na muongo wa kutupwa. Mengi ya aliyosema ima ni uongo, matokeo ya chuki, kutapatapa, kukata tamaa, uchochezi, na uzushi vya kawaida ambavyo hawezi kuvithibitisha kitaalamu wala kimantiki.

Kumi, Gwajima anajifanya kukitetea CCM huku akikiponda na viongozi wake anaowatishia kwa kunukuu maandiko yasiyohusiana na kadhia zaidi ya kumstuta yeye mwenyewe.

Angekuwa msomi japo wa kuchovya, asingetumia maneno anayotumia wala kunukuu aya anazonukuu. Afanyacho ni sawa na kujipaka mafuta halafu ukakatisha kwenye moto.

Ajikumbushe kuteleza kwa ulimi kulivyomponza marehemu Job Ndugai.

Mwisho, Gwajima ni mchochezi anayetaka kuwatapeli wakristo akiwachochea kutoipigia kura CCM wakati
akijua kuwa CCM haiwezi kushindwa kwenye sanduku la kura kama walivyowahi kusema viongozi wake chini ya dhana za ima goli la mkono au kura za maruhani.

Kimsingi, Gwajima aambiwe ukweli mchungu kuwa hana hoja wala lake tena kwenye CCM. Wamemstukia na soon watamuadhibu na kumkomesha. Walianza na kufunga maduka yake ya roho ayaitayo makanisa. Mwisho, watamfunga yeye iwe ni kwa kumfukuza CCM au kuhakikisha hafanyi utapeli wake tena.
 
Pili, Wewe una Elimu ya Afya yoyote walau ikupe Hints za kufikia kusema huyu MTU kachanganyikiwe?? Mbona hujaelezea Kwa namna gan kachanganyikiwa?.
 
Nimeishia Tatu...wee ni lijinga nalimnduku mkubwa, Hujibu Hoja badala yake unamtukana Gwajima .

Pumbavu kabisa

Wakuu msihangaike kusoma .
 
Mnduku wewe, Moshi...Gwajima kakutapeli nn? Au kawatapeli Akina nani??.

Kwann walotapelewa wasitumie Fursa hii Kumchagua Gwajima??.
Du hujui!! Huo uaskofu wako kapewa na nani mbali na udaktari feki na uchwara? Kawatapeli mazwazwa wengi waliokata tamaa na kuwaibia
 
View attachment 3443364
Kwa waliosikiliza kwa makini taarifa ya Mathias Gwajima watagundua yafuatayo:

Mosi, Gwajima ni tapeli wa kawaida aliyejificha nyuma ya dini na sasa siasa ambapo anaanza kujiumbua kwa kuonyesha sura na tabia zake halisi.

Pili, Gwajima ameanza kuchanganyikiwa kiasi cha kujichanganya akilenga kuwachanganya wengine wamuunge mkono wakati hafai sawa na tapeli yeyote wa kidini na kisiasa. Gwajima akubali. Arobaini zake zimefika na amezisababisha mwenyewe.

Hivyo, asiwalaumu wengine bali ajilaumu hasa kwa domo lisilowasiliana na ubongo kabla ya kupayuka.

Tatu, Gwajima ana hasira na kisasi dhidi ya CCM jambo ambalo linamtoa nje ya ulingo wa kisiasa. Mwanzoni alisema kuwa hakuamini kuwa CCM, serikali yake, na vyombo vya dola vilikuwa vinahusika na utekaji. Juzi, kajipiga mtama na kuishutumu CCM moja kwa moja asijue ndo aliharibu kabisa. Kimsingi, Gwajima hana uwezo wa kiakili wa kujadili mambo mazito anayojitahidi kujadili bila mafanikio.

Nne, Gwajima ni kilaza anayewaita wenzake vilaza. Mfano, katika maneno yake, alisema kuwa Mfalme Henry VIII wa Uingereza alikuwa kasisi wa Kanisa Katoli jambo ambalo si kweli. Historia ya Mfalme Henry VIII inamuonyesha kama Mfalme wa Uingereza aliyelitaka Kanisa Katoliki kubatilisha ndoa yake na Malkia

Catherine wa Aragon jambo ambalo Papa alilikataa na kusabisha Henry VIII ajitenge na kanisa na kuanzisha Kanisa la Kianglicana. Hivyo, si kweli kuwa Mfalme Henry VIII alikuwa kasisi.

Tano, Gwajima anadai kuwa wakristo wote ni wakatoliki. Huu nao ni uzushi wa kupigiwa mfano. Watakuwaje wakatoliki wakati walijitenga na kanisa hili na kuanzisha makanisa yao.

Sita, bila mafanikio, Gwajima anajifanya kumtetea padri Charles Kitima pale aliposhambuliwa na "watu wasiojulikana." Wenye akili na kumbukumbu wanajiuliza : Mbona hakuyasema haya wakati Kitima aliposhambuliwa?

Saba, Gwajima anaonyesha viwango vya juu vya unafiki na ubabaishaji. Huwezi kumlaumu Samia lakini ukamnyamazia aliyemtengeneza yaani Magufuli. Kwa muda wote, Gwajima alikuwa wapi?

Nane, Gwajima anatapatapa akijitahidi kuwatetea wapinzani. Mfano, aliongelea miujiza ya Tundu Lissu 'kumeza' risasi 16.

Ukweli ni kwamba Lissu hakumeza risasi hata moja bali alimiminiwa risasi 16. Wengi wenye kumbukumbu wanashangaa kwanini Gwajima amtetee Lissu sasa na siyo wakati aliposhambuliwa tena chini ya muungu wa Gwajima wa kisiasa yaani Marehemu John Pombe Magufuli aliyemfinyanga kwa kumdhulumu mtoto wa dada yake?

Tisa, licha ya kuwa kilaza wa kunuka anayejitia usomi asiokuwa nao, Gwajima ni zwazwa na muongo wa kutupwa. Mengi ya aliyosema ima ni uongo, matokeo ya chuki, kutapatapa, kukata tamaa, uchochezi, na uzushi vya kawaida ambavyo hawezi kuvithibitisha kitaalamu wala kimantiki.

Kumi, Gwajima anajifanya kukitetea CCM huku akikiponda na viongozi wake anaowatishia kwa kunukuu maandiko yasiyohusiana na kadhia zaidi ya kumstuta yeye mwenyewe.

Angekuwa msomi japo wa kuchovya, asingetumia maneno anayotumia wala kunukuu aya anazonukuu. Afanyacho ni sawa na kujipaka mafuta halafu ukakatisha kwenye moto.

Ajikumbushe kuteleza kwa ulimi kulivyomponza marehemu Job Ndugai.

Mwisho, Gwajima ni mchochezi anayetaka kuwatapeli wakristo akiwachochea kutoipigia kura CCM wakati
akijua kuwa CCM haiwezi kushindwa kwenye sanduku la kura kama walivyowahi kusema viongozi wake chini ya dhana za ima goli la mkono au kura za maruhani.

Kimsingi, Gwajima aambiwe ukweli mchungu kuwa hana hoja wala lake tena kwenye CCM. Wamemstukia na soon watamuadhibu na kumkomesha. Walianza na kufunga maduka yake ya roho ayaitayo makanisa. Mwisho, watamfunga yeye iwe ni kwa kumfukuza CCM au kuhakikisha hafanyi utapeli wake tena.
Mbona wewe ndiye una dalili zote za kuchanganyikiwa baada ya Gwajima kuwatieni dole la kati hadi limetoka na kisamvu, jibuni hoja zake wacheni utoto.
 
Mnduku wewe, Moshi...Gwajima kakutapeli nn? Au kawatapeli Akina nani??.

Kwann walotapelewa wasitumie Fursa hii Kumchagua Gwajima??.
Nasubiri kwenda Tokyo na Birmingham aince 2020

Na alisema anatuletea meli za uvuvi… nimeshajifunza kuogelea kabisa na wanangu wanasubiri meli tu

Sioni dalili kabisa
 
Mbona wewe ndiye una dalili zote za kuchanganyikiwa baada ya Gwajima kuwatieni dole la kati hadi limetoka na kisamvu, jibuni hoja zake wacheni utoto.
Sijui kama unajua kuwa hujui. Hata hivyo, soon, utajua kuwa hujui na hakika hutakaa ujue ukweli.
 
Nasubiri kwenda Tokyo na Birmingham aince 2020

Na alisema anatuletea meli za uvuvi… nimeshajifunza kuogelea kabisa na wanangu wanasubiri meli tu

Sioni dalili kabisa
Bado unaamini ahadi za huyu tapeli uchwara wa kiroho aliyejaa uroho wa ajabu?
 
Mtu anaitwa hilo jina, we unaenda kuabudu.
Mayala tulitafsiriwa ni "njaa"
Mungu marehemu Magu.
Huyu mwingine ye apige kelele tu. Atasimama.
Alitakiwa amalizane huko na waumini.
 
Wewe utakua ni mpinga kristo au pepo katika umbo la binadamu

Kama hauko kwenye hayo makundi basi Mungu akusamehe maana haujui ulitendalo anisamehe nami pia kwa kukuhukumu

Kama wewe ni binadamu tubu siku sio nyingi Dunia itafika ukingoni
 
Back
Top Bottom