Gwajima anaanza kuchanganyikiwa na kujichanganya

Bado hujaweza kusawazisha alichosema Gwajima. Zaidi ya vitisho vya dola kwa Gwajima, bado uwezekano wa hoja zake kujibiwa kwa hoja za kweli umeshindikana. Labda ummuite Amos Makala akusaidie.
 
Gwajima hana akili wala uweledi wa kuzungumzia maswala ya kitaifa. Mtu mwenye division four na vikozi vya kidini vya kuungaunga anapata wapi weledi wa kulisemea Taifa?
Enzi za mgogoro wake na Makonda aliwahi kusema eti Makonda ana zero form four na mezani kwake ana cheti kinachoonesha matokeo hayo! Ahahahahaha! Hakujua kuwa NECTA hawatoi vyeti kwa division zero labda kama walitoa kwa Makonda tu! Ahahahahaha!!
 
Kwanza acheni kumshambulia Gwajima, shambulieni hoja zake!
Pili, fungueni makanisa yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…