Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Ujinga ni kuponda watanzania kupata taarifa toka kwa Mange na Gwajima na kusifia Rais anapokuwa mpenzi wa SHILAWADU
 
kwa hiyo anayoyasema mchungaji kanisani na mange unayaamini vipi kama ni ya kweli? sema mimi siyo watanzania wote.
 
Wewe utasubili hadi uzeeke, Makonda anaakili sana hawezi kujibizana na nyumbu, Mbona Mbowe hana cheti na anaongoza maprofesa ? Hoji kwanza vyeti vya Mbowe.
 
Wewe mbeba ngada za mwenyekiti, utawaliwe mara ngapi?
 
nimeshasema kamwambie aliyekutuma hatupo [HASHTAG]#sisi[/HASHTAG] tunakata vyeti tu
 
nimeshasema kamwambie aliyekutuma hatupo [HASHTAG]#sisi[/HASHTAG] tunakata vyeti tu
Nikweli wewe unataka vyeti, kuwa Wazi unataka vya nani kati ya Mbowe na Rc Makonda? Sema tu hata kama ni Mbowe hawatakufukuza, bado wanasaka Wanachama kwani hata Makapi wanayahitaji sana.
 
Wekeni vyeti halisi kwanza harafu maneno haya baadae. Na Gwajima ndiye mtu, na wewe sijui ni nani? Acheni maneno wekeni vyeti.
 
Nikweli wewe unataka vyeti, kuwa Wazi unataka vya nani kati ya Mbowe na Rc Makonda? Sema tu hata kama ni Mbowe hawatakufukuza, bado wanasaka Wanachama kwani hata Makapi wanayahitaji sana.
Hahaha

Ngada za mwenyekiti zimeharibu bongo zao,

Ukichukua panzi na bavicha ukawaweka darasani, panzi atapata alama nyingi kuliko bavicha
 
Lakini anafanya kazi tafiti za wabunge wa Ccm kwenda kumtembelea Lema Kisongo...
Acha kelele weka vyeti
 
Fa fa fa fa champion
 
Hizo ni kelele za chura tu ndio maana Gwajima anapayuuuka halafu hakuna anayemjali ...
 
Mkuu uzi wako mzuri sana lakini muuza unga hapimwi damu wala mkojo labda hii ni vita dhidi ya mateja!
 
Ushahidi upo WAP?
 
Je hao waliokosewa majina hawakupatikanahana?
Kutoka moyoni kabisa nasema kwa moyo wa dhati kabisa Msema kweli ni mpezi wa mungu hivi mnakuwa na akili zenu kweli?
wengi wenu vijana wa lumumba maana wakati mwingine huwa ninahisi huwa mnaandika mkiwa mirembe 🙂🙂
Sijuwi aliye waloga ni nani au mzee sita aliwaharibu ninawazaga sana na kuwaombea kwa mungu ila bado mpo kama mandezi
Hahaha

Ngada za mwenyekiti zimeharibu bongo zao,

Ukichukua panzi na bavicha ukawaweka darasani, panzi atapata alama nyingi kuliko bavicha
 
Hamuwezi kuzuia tusiongee.hata kama hatafanyia kazi message sent and delivered
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…