Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Halafu utasikia wajinga wajinga wanadai Mh Magufuli anaminya demokrasia, watu wanatukana mpaka watawala tena kwa uongo, halafu RC wetu ni mtu mwema sana yani kamuachia Mungu tu watukaneee mpaka wachoke, mwenye akili hajibishani na wajinga by the way
 
Nope, nahisi napoteza muda wangu.
Kama huwa unasomewa biblia lazima ukwame ukikutana na mtu ambaye husoma biblia.

Kwa taarifa yako wewe humiliki muda, ni kujilisha upepo kudhani unapoteza muda.

Ubatili, ubatili, ubatili na kujilisha upepo.
 
minaona anyamaze pale makonda atakapo leta vyeti other wise aendelea mwanzo mwenga
 
Siyo mkumbo. Kwani fans wa Arsenal wanavosena Arsenal Wenger ang'oke ni mkumbo?

Hatutaki Std 7 Dar. Na hatutaki Kibaka kuwa RC Dar.
Hatukaki tapeli kuwa RC Dar. Kuna gharama gani kutoa vyeti dharani? Kitu cha dk1 tu.

CCM akili zenu mmezikalia.


Inaelekea ukiangalia ulivyo na maisha yako, lazima inabidi tu lolote uliteme. Jisikitikie
 
Aisee huyu jamaa sio mzima kuna nguvu isiyo ya kawaida inampelekea kufanya kisasi na Makonda hiyo sio roho ya kawaida mbona wenzake walioshutumiwa wamenyamaza kimya,anaombea mapepo kumbe yeye mwenyewe anayo hayajatoka.Mi simhukumu ila namuonea huruma jinsi anavyotumikishwa na shetani pasipo kujua,mafundisho yake ni uongo 100%
 
Tena ni semu ya kutafuta Mali na utajiri wa halo ya juu
Wapo manabii walikuja kutangaza dini ya kweli ya mungu wamezunguuka takribani robo tatu ya dunia hatujasiki kua wanamiliki makampini dini ya mungu ukaigeuza kua kampuni
Hajakimbia yopo hapahapa
IMG_20170313_165138_985.jpg
IMG_20170313_165205_613.jpg
 
Kwa muda sasa imegeuka wimbo kwa wimbi la watu wanaojiita wasomi, kusubiri Gwajima amesema nini kanisani kwake, au Mange amepositi nini Instagram.

Baada ya post za kina Mange na Gwajima, chadema na upinzani huibuka na kumtaka Rais amtumbue mkuu wa mkoa wa Dar.
Tuwalize nyinyi mnaotetea wauza madawa ya kulevya bavicha, je Gwajima na Mange kwa akili zenu ndio intelijensia ya rais??

Je waliofukuzwa makazini kwa vyeti feki tuhuma zao ziliibuliwa na Mange na Gwajima??
 
Lete hoja za maana hapa na sio bla bla..

Njoo hapa sema Gwajima kasema hiki na hiki ni uongo na anamsingizia Daudi Bashite (Makonda)au sema Mange amesema hiki na hiki ni uongo.

Come with the facts against what's been said by Gwajima and Mange.

Nchi yote hivi sasa inajua Daudi Albert Bashite amefoji matokeo ya form 4 na jina Paul Christian Makonda sio lake. Jina lake ni DAUDI ALBERT BASHITE.
 
Unamaanisha mateja wanajisumbua manake mwenye akili timamu anafahamu Bashite ana-deal na mateja na sio wauza unga!!!! Na mbaya zaidi, sio kwamba ana-deal na mateja; hivi sasa anatumia mateja kuwalaghai malofa!!!

Halafu watu mlivyo na vichwa vigumu; Tume baada ya kuundwa tu ikaachana na Ubashite wa Bashite lakini ingawaje mna macho bado hamuoni alichofanya Bashite ni ujinga uliovuka mipaka na ndio maana walipokuja wenye akili zao hawakufanya kama alivyofanya yeye!!!!
 
Kwa muda sasa imegeuka wimbo kwa wimbi la watu wanaojiita wasomi, kusubiri Gwajima amesema nini kanisani kwake, au Mange amepositi nini Instagram.

Baada ya post za kina Mange na Gwajima, chadema na upinzani huibuka na kumtaka Rais amtumbue mkuu wa mkoa wa Dar.
Tuwalize nyinyi mnaotetea wauza madawa ya kulevya bavicha, je Gwajima na Mange kwa akili zenu ndio intelijensia ya rais??

Je waliofukuzwa makazini kwa vyeti feki tuhuma zao ziliibuliwa na Mange na Gwajima??

Yule walokua wakisema mpisha Hotelini sinza habari si alizitoa kwenye mitandao [emoji23][emoji23] na akamjibia why not hili kama sio double standards
 
Unamaanisha mateja wanajisambua manake mwenye akili timamu anafahamu Bashite ana-deal na mateja na sio wauza unga!!!! Na mbaya zaidi, sio kwamba ana-deal na mateja; hivi sasa anatumia mateja kuwalaghai malofa!!!

Halafu watu mlivyo na vichwa vigumu; Tume baada ya kuundwa tu ikaachana na Ubashite wa Bashite lakini ingawaje mna macho bado hamuoni alichofanya Bashite ni ujinga uliovuka mipaka na ndio maana walipokuja wenye akili zao hawakufanya kama alivyofanya yeye!!!!
Mboe je?
 
Kwa muda sasa imegeuka wimbo kwa wimbi la watu wanaojiita wasomi, kusubiri Gwajima amesema nini kanisani kwake, au Mange amepositi nini Instagram.

Baada ya post za kina Mange na Gwajima, chadema na upinzani huibuka na kumtaka Rais amtumbue mkuu wa mkoa wa Dar.
Tuwalize nyinyi mnaotetea wauza madawa ya kulevya bavicha, je Gwajima na Mange kwa akili zenu ndio intelijensia ya rais??

Je waliofukuzwa makazini kwa vyeti feki tuhuma zao ziliibuliwa na Mange na Gwajima??

Chadema na wauza ngada wote wanawaabudu hao watu kuliko unavyodhani. Utakuta dume zime linaongea mbele za watu eti mange kasema ivi kaandika vile, unashindwa kuelewa hivi huyu ana akili kweli au taahira?? Gwajima ndio muongo wa kwanza, alisema kikwete hataki kumpa Rais Magufuli uenyekiti akaumbuka, alidanganya kumfufua marehemu chifupa hadi leo nehi, akadanganya kwamba Makonda kakimbia nchi atakaa miezi 2 na TZ Daima likashadadia akarudi sasa hivi anapiga kazi...wamebaki weka vyeti weka vyeti unataka vyeti ww ndio uliyemuajir makonda au wewe Necta? Upuuzi sana
 
Back
Top Bottom