Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Huyu jamaa mwendawazimu, yeye alisema ana Cheti cha bashite alichopata zero, hemu kwanza atuoneshe hicho cheti ndipo aendelee kutuaminisha huo upuuzi unless mi naona anapoteza lengo kuhusu madawa
 
Hakuna aliye kuhani kumzidi Kristu Kuhani Mkuu. Lakini unajua aliposingiziwa alifanya nini? Soma hapa ili uwe huru :

1 Petro

18 Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wao walio wema na wenye upole tu, bali nao walio wakali.
19 Maana huu ndio wema hasa, mtu akivumilia huzuni kwa kumkumbuka Mungu, pale ateswapo isivyo haki.
20 Kwa maana ni sifa gani kustahimili, mtendapo dhambi na kupigwa makofi? Lakini kustahimili, mtendapo mema na kupata mateso, huu ndio wema hasa mbele za Mungu.
21 Kwa sababu ndio mlioitiwa; maana Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachia kielelezo, mfuate nyayo zake.
22 Yeye hakutenda dhambi, wala hila haikuonekana kinywani mwake.
23 Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakuogofya; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki.
Kuhani mkuu kiroho (Yesu) alishitakiwa na kuhani mkuu kimamlaka.
Baada ya Yesu kuangikwa msalabani, alipokata roho, aliachilia adhabu ya kwanza kwa makuhani pale tetemeko lilipotikisa ardhi maana tazama PAZIA LA HEKALU LILIPASUKA nayo mamlaka ya kuingia patakatifu pa watakatifu ikatoweshwa (hii ndio ilikuwa kazi kubwa na ya kuogopewa kimamlaka ya makuhani)

PAZIA LA HEKALU LIMEPASUKA SASA (VYEEEETI) ukuhani wa bashite umebakia kuwa ni wa historia tu.
 
Unachanganya Mungu na Kaisari. Pole sana
 
Unachanganya Mungu na Kaisari. Pole sana
Vinaenda pamoja, ama la sivyo Yesu asingewaagiza wanafunzi wake kurusha ndono majini ili samaki atakayezuka mwanzo watoe kutoka mdomoni mwake dinari ili wakalipe kodi pale badarini.
 
Mtu anawezaje kuivamia nyumba yake mwenyewe?

Au unamaanisha watu wanaovamia makanisa kwenda kulia?
Tena ni semu ya kutafuta Mali na utajiri wa halo ya juu
Wapo manabii walikuja kutangaza dini ya kweli ya mungu wamezunguuka takribani robo tatu ya dunia hatujasiki kua wanamiliki makampini dini ya mungu ukaigeuza kua kampuni
 
Gwajima ni bora ukafanya yampasayo mtu wa mungu kufanya tumechoka na maneno yako kila siku makonda hauna mahubiri ya kuhubiri acha izo
Yule sio mchungaji Bali yule ni mkurugenzi wa ile kampuni kwahiyo kaona kuwa kampuni yake imedhalilishwa ndio anawasihi watumishi wake wasijiudhuru kazi
 
Bado tunaendelea.

Moto wa Gwajima kwa Makonda ndo kwanza umeanza. Kazi bado.

Gwajima amesema, Mungu alimrengesha Makonda kwake ili amchape vzr.Ameingia kichwa kichwa, sasa ameingiza mikono na miguu na kugeuka sembe.

Amesema ana watu waliosoma na Saudi Bashite kuanzia shule ya msingi, sekondary na Chuo huko alikofeli na anasali nao kanisani kwake.

Gwajima :"Ole wake atengeneze cheti, data zote zipo na watu wapo.Nakula nae sahani moja".

Tazama video hapa chini
 
Mimi nilijua chezo limekwisha kumbe ndiyo kwanza mapambazuko, ngoja tuone mwisho wake.
 
Kanisa katoliki bwana! wananipa raha kweli. Masomo, injili ya siku hiyo mfano Jumapili ndio inayosomwa duniani kote katika makanisa yake, hakuna Padre au kiongozi yeyote kuja na mada yake binafsi!
 
Vinaenda pamoja, ama la sivyo Yesu asingewaagiza wanafunzi wake kurusha ndono majini ili samaki atakayezuka mwanzo watoe kutoka mdomoni mwake dinari ili wakalipe kodi pale badarini.
Nope, nahisi napoteza muda wangu.
 
Manina zako Gwajima, yaani unamng'ong'a mheshimiwa mtukufu hivi hivi....!!!
 
Back
Top Bottom