Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

... Dah Umemaliza mkuu.
 
Nipo na jamaa yangu mkenya tumekaa hapa ken garden namsimulia issue ya bashite ananiambia watanzania ni wajinga sana suala kama hili ingekuwa ni kwao Kenya hii ni kashfa kubwa sana kwa serikali
 
Mleta mada una akili ya siafu! Mange na Gwajima wametumika kama whistle blowers na duniani kote watu wa namna hii wapo!! Kama unawaona ni wendawazimu basi kuthibitsha hilo na ili sisi pia tujue ni wajinga na tuwapuuze fanya kitu kimoja tu Mkuu!! Mwambie Bashite alete cheti kimoja tu cha form four!!!!!!!!
 
Wewe hoja yako ys msingi ulioleta ni ipi
 
Naunga mkono hoja.
 
Mleta mada ana uelewa mfupi sana,kama hafanyii kazi tafiti za mange ama ngwajima,anafanyia tafiti za akina nani labda kwa mfano?,

si wizara ya elimu ilitoa agizo kiwa watu ama mtu mwenye taarifa za wanaofoji vyeti watoe taarifa,wanachofanya hawa kina gwajima kama raia wema ni kutoa taarifa na ni kazi ya serikali kuzifanyia kazi taarifa.

Badala ya kudharau ,kutojali na kuweka pa;mba masikio.

Jk alisemwa sana mtandaoni na aliweka pamba masikio,lakini kama ishu ilikuwa ya ukweli serikali ilifanyia kazi ,na kama haikuwa sahihi mara nyingi ilikanushwa,
then why hawakanushi kuhusu ishu ya Daud bashije kufoji vyeti?
 
Nimekubali wewe ni kichaa unadiriki kuaminisha umma kuwa sizonje Awezi akafanyia kazi maneno ya gwajima na mage je kwa Wilson kabwe alifanyia kazi maneno ya nani? Si Bashite huyu huyu wa zero zero
 
Ulitaka UHURU ndio liandika hapo roho yako ingekuwa kwatu!
 
wanaomquote mange kimambi wanatia kichefuchefu. mange kimambi ni changudoa la kimataifa huku amerika. baada ya utu uzima kumkabili linang'ang'ania mabwana wazungu. mange anafanana na gwajima kwa kitu kimoja. wanatafuta ukuu na mali kwa njia yoyote. hawajafanikiwa na muda unapita ndio maana wamepata ugonjwa wa akili.
 
Hu uzi umeletwa na
member wa Fa fa fa fa lumumba club🙂🙂
 
Wekaa hojaa inayoeleweka mbna unataja watumishi wa Mungu bila aibu yan wewe umeanza kulishwa visasi na ndo unachofanyaa huna jipyaa leten vyeti mezani au muachie kitii
 
Mandezi tunatawala nchi
 
Wauza unga [emoji53][emoji53]

Watu wanakula bata huko nje ya nchi
 
Wa koromijee

Mzeee wa Fa Fa Faaa
 

Hapo. Ndipo nilipomkubali Rais, Dr. Magufuli, hakuna tena kufanyia kazi maneno ya vijiweni, genge la Gwajima na wauzaji, waletaji na wala sembe .

Rais, muongezee RC cheo ndiyo haya magenge yakome kabisa.

Ili hao wambea wakome zaidi.
 
kama kuna eneo chadema wameamua kutupoteza ni huku kwenye kesi! zimekuwa nyingi na kwa bahati mbaya zinashabikiwa na watu wa elimu ya juu na kati ambao wengi wao sio wapiga kura na wanachama wa vyama vya siasa ila washabiki!
lakini wamewasahau wapigakura wao ambao wengi wapo vijijini wanaotaka majibu rahisi ya mbunge kafanya nini? na sio hizo kesi nategemea Lema anaweza kusaidia kubadilisha uelekeo kwa kutumikia jimbo lake.
acheni kazi jipangeni watu wanaona aibu kuwaambia ukweli!
 
Nipo na jamaa yangu mkenya tumekaa hapa ken garden namsimulia issue ya bashite ananiambia watanzania ni wajinga sana suala kama hili ingekuwa ni kwao Kenya hii ni kashfa kubwa sana kwa serikali
Kweli wakenya wangepeleka mahakamani badala ya kuishia mtandaoni kama wabongo huku wakimuacha anaendelea kupigiwa salute.
 
Mimi naomba uniambie kwamba ili tuamini habari yoyote ile inatakiwa iandikwe au isemwe na nani ambaye labda hata wewe unamwamini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…