Kwahiyo Rais yuko radhi kufumbia macho ufisadi kwasababu tu umeibuliwa na Gwajina na Mange? Basi autangazie umma, ukimya wa nini?Kwa muda sasa imegeuka wimbo kwa wimbi la watu wanaojiita wasomi, kusubiri Gwajima amesema nini kanisani kwake, au Mange amepositi nini Instagram.
Baada ya post za kina Mange na Gwajima, chadema na upinzani huibuka na kumtaka Rais amtumbue mkuu wa mkoa wa Dar.
Tuwalize nyinyi mnaotetea wauza madawa ya kulevya bavicha, je Gwajima na Mange kwa akili zenu ndio intelijensia ya rais??
Je waliofukuzwa makazini kwa vyeti feki tuhuma zao ziliibuliwa na Mange na Gwajima??
Bashite lingine hili hapa... manake mibashite ikiona mtu ana-criticise watu wa serikalini hakuna pekee wanachokijua zaidi ya kwamba huyo anaye-criticise ni CHADEMA!! No wonder unajiita mshipa... na kweli we mshipa!!Hii ishu ya vyeti itawasababishia Bavicha vidonda vya tumbo maana mnaonekana mnastress kuliko hata mtuhumiwa mwenyewe
Bashite lingine hili hapa linajaribu kutetea bashite lenzake!! Na utaendelea kutetea upumbavu hadi unaingia kaburini; lofa mkubwa wee!! Sina mamlaka nalo wakati ni kiongozi wa umma yule?! We unafikiri mshahara anaolipwa unatoka wapi kama sio kodi zetu?! Milofa kama nyinyi ndo inafanya Tanzania iendelee kuwa kichaka cha wahalifu.....Tanzania hii imejaa wajinga wengi kama wewe unayong'ang'ania jambo ambalo huna mamlaka nalo
Kwahiyo wakipatikana ndo inakuwa tayari anajua kuandika majina?! Hoja ni kwamba huyu jamaa ni full Bashite manake hata kuandika Freeman hajui... anzia hapo kwanza!!!Je hao waliokosewa majina hawakupatikana?
Mbona povu jingi sana jombaa kama vip muandamane tuBashite lingine hili hapa... manake mibashite ikiona mtu ana-criticise watu wa serikalini hakuna pekee wanachokijua zaidi ya kwamba huyo anaye-criticise ni CHADEMA!! No wonder unajiita mshipa... na kweli we mshipa!!
Eti povu... unafahamu maana ya povu au unaona tu wenzako wanaandika povu na wewe umeamua kuandika bila kufahamu!! Bashite bhana...!!! Btw, hatuna haja ya kuandamana! Kwani alipoenda kulia kanisani kuna mtu aliandamana?!Mbona povu jingi sana jombaa kama vip muandamane tu
unavyocoment tu unaonekana umepanicEti povu... unafahamu maana ya povu au unaona tu wenzako wanaandika povu na wewe umeamua kuandika bila kufahamu!! Bashite bhana...!!! Btw, hatuna haja ya kuandamana! Kwani alipoenda kulia kanisani kuna mtu aliandamana?!
Bashite tunamnyuka za uso hapa hapa... kesho Ijumaa aende msikitini akalie kisha asubirie Jpili akalie tena ili akapate huruma ya malofa!!!
Jibu swali; kwani alivyoenda kulia kanisani kuna watu waliandamana?!unavyocoment tu unaonekana umepanic
Kutoka moyoni kabisa nasema kwa moyo wa dhati kabisa Msema kweli ni mpezi wa mungu huwa mandezi hawajitambuwiMandezi tunatawala nchi