Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

"Kesho mapemaa mungu akiniamsha salama nawahi kiti cha mbele kabisa maana hayo makombora yatakaoshushwa yatakuwa ni double touch kama picha linavyojieleza"


Unakwenda kusali au kusikiliza umbea? Kwani hujuwi kanisani si sehemu ya majungu na umbea?
 
Niko Ubungo nilikuwa nasafari ya Kigoma kila nikiwa kwenye mwendo kasi nikaona nibarizi insta niliyoyaona nimeghair Niko na begi langu hapa the Way to church Ufufuo
 
View attachment 483089
Kapost muda huu kwenye page yake Instagram
Jamani Gwajima keshatoa warning,kesho kinanuka, last week alisema kafunga mjadala unless achokozwe apige double manifestation sasa naona Bashite kamchokoza,asilie tu maana wakizidiwa utasikia oooh mtumishi gani wa Mungu hajui kusamehe
Nan nyie kina soudy brown na kwisa kesho nawaonea huruma kwenye page ya Mange maana story zenu za kula Cocaine kule mbezi zitawekwa hadharani plus michezo yenu ya ushoga
Mbaya zaidi Mama Trump naye ataanika michepuko ya ma boss wenu hapo clouds
Hongera Bashite kwa kukoroga kinyesi,movie linazidi kunoga
..... Jambo ambalo lingeweza kumuangusha Gwajima na Kanisa lake ni bwana yule kuthibitisha kwamba , Gwajima ni Muongo, mfitini, Mzandiki na asiye faa...simple kwa kuleta vyeti.
 
Huyo atakuwa fixed soon.Hawezi kucheza na dola.
Ukitumia mdaraka vibaya hayo ndo madhara yake maana unajikuta unatumia dola kwa utashi wako binafsi na pasipo na uhitaji wa dola, na hii inaonyesha ni jinsi gani watu wanavyolewa madaraka pindi wayapatapo.
 
Back
Top Bottom