Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

"Kesho mapemaa mungu akiniamsha salama nawahi kiti cha mbele kabisa maana hayo makombora yatakaoshushwa yatakuwa ni double touch kama picha linavyojieleza"


Unakwenda kusali au kusikiliza umbea? Kwani hujuwi kanisani si sehemu ya majungu na umbea?
 
Niko Ubungo nilikuwa nasafari ya Kigoma kila nikiwa kwenye mwendo kasi nikaona nibarizi insta niliyoyaona nimeghair Niko na begi langu hapa the Way to church Ufufuo
 
..... Jambo ambalo lingeweza kumuangusha Gwajima na Kanisa lake ni bwana yule kuthibitisha kwamba , Gwajima ni Muongo, mfitini, Mzandiki na asiye faa...simple kwa kuleta vyeti.
 
Huyo atakuwa fixed soon.Hawezi kucheza na dola.
Ukitumia mdaraka vibaya hayo ndo madhara yake maana unajikuta unatumia dola kwa utashi wako binafsi na pasipo na uhitaji wa dola, na hii inaonyesha ni jinsi gani watu wanavyolewa madaraka pindi wayapatapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…