Uchaguzi 2020 Gwajima awa gumzo kwenye mitaa ya Kawe

Uchaguzi 2020 Gwajima awa gumzo kwenye mitaa ya Kawe

Nitamchagua Gwajima kwasababu atageuza madrsaa na misikiti Sunday school
 
Nimeshangaa sana kuona gari la chadema likipita mitaani likitangaza mahubiri ya Gwajima kwa sauti kubwa sana,inaonesha Halima hana tena cha kuongea
 
Kawe hatutaki kiongozinasie na maadili anadiriki kujirekodi video chafu.
 
Mwaka huu hadi mbuzi wameshtuka,changamoto ni kwamba kuna binadamu wamebakia nyuma ya mbuzi 😛 😛 😛
 
Back
Top Bottom