Uchaguzi 2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

Gwaji hafai kwa lolote , anafanya jina la Mungu litukanwe! Tupa kule Gwaji boy!!!!!

watu wa Kawe hatutompa kura, labda angeenda kwao Kolomije ambako hawajitambui, sio hapa town.


JESUS IS LORD!
 
Huyu mtu na umri wake na anavyofanya ni aibu sana na hakui kabisa! kila uchwao ni kashfa mpya!
Anyway, ndio laana zenyewe kwa utapeli anaofanya tena kwa kutumia jina la Mungu,
 
Hapo kwa mahakama ya kadhi mkuu sikuungi mkono.athari zake hasi ni nyingi sana.Ni hatari na mtego kwa utengamano wa kitaifa.Vipi Wakristo kwa mgawanyiko wao wakdai nao mahakama zao,za kikatoliki,mahakama ya kisabato,kilutheri,wapagani na wote wasio na mrengo wwte wa kidini.Tanzania itasimama kweli.
 

Hivi kweli unajua unachokisema kuhusu mahakama ya kadhi kwamba inawahusu waislamu peke yao au umekurupuka tu! Hoja haikuwa kwamba mahakama ya kadhi iwepo wala isiwepo hilo kweli ni suala la waislamu na sheria za nchi kama zinaruhusu basi hakuna shida. Mjadala wa mahakama ya kadhi uliibuka nchi nzima bila kujali dini wala itikadi za kisiasa kwa sababu waislamu walikuwa wanadai serikali igharamie uendeshaji wa hiyo mahakama ya kidini wakati wanajua fika kwamba serikali haiendeshi taasisi za kidini na wala haina dini. Kwa maana nyingine waislamu walitaka mahakama yao iendeshwe kwa kodi za wapagani, waslamu yenyewe na wakristo.

Sasa unavyosema kwamba mahakama ya kadhi ilikuwa haimuhusu Gwajima wala wakristo hapo unaongopa mchana kweupe. Kodi za serikali zinalipwa na wananchi wote wa Tanzania na zinatumika kuleta maendeleo ya nchi bila kujali dini, kabila, wala chama anachotoka mtu.
 
Nimesoma upuuzi wako mpaka mwisho...lakini upuuzi mkubwa ni hapo niliposoma neno Taikon;....nikajua kumbe nimepoteza muda kwa huyu boya
 
Gwajima ana akili nyingi usije ukamfananisha na huyo mwanamke anayeishi kihuni
Ana akili nyingi sana za kutengeneza filamu za ngono akiwatafuna wanakondoo wa kale kasaccos kake ka ufufuo na uzima!
 

Una matatizo ya uelewa.umeangalia angle moja tu ya sura....sifa zote nzuri za bi kidude huzijui?,,,Akili za kushikiwa hizo ulizonazo.unapojenga hoja uwe na uwezo wa kuitetea kwa hoja.swali linarudi kwako.kuna kosa gani halima kupewa jina la bi kidude?
 
Wewe Bibi Kidude anatuzo nyingi za kimataifa,

GWAJIBOY Anatunzo yoyote ?hata clip yake ya ngono bado haijapata tunzo
Mtu akiwa na akiliccm halisi hawezi ona ukweli wowote na kuukubali!!
Alichosahau Gwajiboy ni kilichomkuta yule Mzee maarufu aliyetukana wajumbe wa darasa la saba kwa digrii zake...
 
Hivi ndugu yetu marehemu Bibi Kidude alimkosea nini huyu Gwajima hadi amdharau kiasi hiki? Kwanza bibi Kidude alikuza sana utalii na sanaa visiwani. Yeye Gwajima zaidi ya Misukule yake ameisaidia nini Kawe na nchi kwa ujumla> Asifikiri tutamchagua kwa kuwa ni Msukuma. No!
 
Kama ulifuatilia kipindi cha uzinduzi wa kampen kawe CCM mgeni Rasm alizungumzia kuhusu hili swala Halima alimuita Gwajima mrembo lakin Gwajima alimjibu kwa kumuita jina la Heshima kubwa Bi kidude wala hakumkeji maana hakutaka kulipiza ubaya
 
Yan unakuta mtu hata hafuatilii taarifa unakuta kitu na kudandia juuu kama popo vile kama unamfuatilia vzuri utajua kuwa hakumuita kwa ubaya
 
Kila kosa moja kwenye siasa ni Fursa.

Gwajima ni moja ya watu bora nchi hii lakini ubaguzi wake wa dini na ukabila, na dharau zinamuangusha sana
Nadhani unaposema Gwajima ni moja ya watu bora nchi hii na wewe unaghafilika.
Atakuaje bora na wakati huo huo Ni mkabila, mdini na mwenye dharau?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Kama ungekuwa na akili na kuacha ushabiki basi ungeelewa kuwa Gwajima hakutumia jina la Bibi kidude kama kumzarau bali alimpa hlo jina kwa lengo la kumpaisha Gwajima licha ya halima mdew kumuita mrembo lakin yeye alitumia jina nzuri na la heshima kubwa kwa nchi yetu hapa mim sion kama Gwajima anamakosa yoyote yale wala kumzarau mtu yoyote wewe unayeongea hvi n wivu wako tu na chuki binafs zinazokusumbua Gwajima n mtu wa watu na mpenda maendeleo hajawah mzarau mtu yoyote yule
 
ROBERT HERIEL Nakusalimu habari za siku mbili tatu ndugu yangu?
Nimeshangaa na nimesikitishwa na bandiko lako hili ambalo najua umeandika kwa jaziba kubwa.
Mosi nataka nikumbushe unakumbuka siku ya jumatatu Mimi na wewe tulipo kutana Bahari beach kuomba msaada kutoka kwa Askofu Gwajima wa kifedha ili tuendelee kumpigia kampeni lakini akasema kuwa kwa Sasa hana pesa hiyo hadi hapo badae na ulitoka ekasilika Sana
Ndio maana naona umekuja kupiga kelele na kulalama na uongo wako humu JF ndugu yangu acha kujishushia hadhi yako nakustahi kwa Sasa ningeweka na picha yako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…