Uchaguzi 2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

Mada yako ndeefu na ya kijinga, umeandika uharo tupu, nakuona unasumbuliwa na roho ya kishetani wewe, naamini unatambua ulichoandika ni utopolo ila umechagua kijitoa akili.
 
Unataka aje akupigie magoti ndiyo ujue anaheshima boya ww?
Anawaheshimu wapiga kura wake wa Kawe inatosha ww kibaraka wa chama wala humsumbui.
 
Gwajiboy wana Kawe tunakukubali inatosha hao wapita njia hawakuhusu wakashike jembe waanze kwenda kulima kabla anguko lao October 28
 
Safari hii ni bora kwenda na Gwajima kuliko kumchagua yule tapeli wa kike asiye na hata chembe la hofu kwa wananchi wa Kawe na ahadi zake za uongo.
 
Gwajima anaonesha dharau kwa binadamu ambao anataka wampe kura!!!! TAPELI anaeuma mkono anaoomba umlishe!! Hafai.
 
Gwajima oyeee
 
Gwajima mbele kwa mbele lata hoja tuende kwa hoja ishu ya bi kidude alishajibu sikiliza hotuba yake Siku ya uzinduzi wa kampeni inaonakana ndugu yetu huwa husikilizagi mambo yanayoendelea mjini
 
Awe makini asiwafanye wapiga kura wa KAWE kama vile wale waumini wake wanaokubali chochote anachowaambia bila hata kitafakari.

Kawe ima watu makini wanaojitambua!!
Kama ulichesema ni kweli kawe tunataka maendeleo ishu zake binafsi niyeye na familia yake tumechoka miaka 10 bila mafanikio au wewe huishi kawe ndugu mwandishi au wewe unajiweza au tayari halima amaeshakufanyia manuva.TUMECHOKA HERI GWAJIMA AMBAYE BADO HATUJAMJUA KULIKO WA MIAKA 10 NA HAJATUFANYIA CHOCHOTE.
 
Kimsingi watu wanakawaida ya kuupindisha ukweli hasa mwandishi wa nakala hii ninauhakika kabisa huwa hasikilizi kile gwajima anaongea au kama anasikiliza basi huwa anapotosha maana ya ujumbe kwa maslahi ya kuleta chuki na vurugu.Sisi ni mashahidi wa kawe hakuna maendeleo na licha ya hivyo bado kitabu chake ametudanganya nacho kwa kuandika taarifa za uongo na kufojisha fedha za wananchi.
 
Na mwenye akili atawaza tu kuwa nani anadharau aliyekaa miaka 10 na kutudanganya ila ma sasa bado anataka tena ili atudanganye au Gwajima anayenyoosha kweli na kutetea wananchi wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…