Gwajima hana mchango wowote wa maana kwa Watanzania

Katika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa.

Hata hivyo, yapo majina ambayo yanapojitokeza kwenye majukwaa ya siasa, hugeuka chanzo cha mtafaruku, kejeli, na migawanyiko badala ya kuwa taa ya matumaini kwa wananchi. Miongoni mwao ni Josephat Gwajima.

Gwajima amekuwa akijitokeza mara kwa mara na kauli tata zisizo na tija kwa taifa. Kwa macho ya wengi, ni dhahiri kuwa hana mchango wowote chanya kwa maendeleo ya kitaifa.

Badala ya kutumia nafasi aliyonayo kuhamasisha mshikamano, elimu, na ustawi wa jamii, Gwajima amegeuka kuwa chombo cha kuvuruga amani ya fikra za Watanzania kwa kauli za kijinga na zenye misingi ya kutumika kisiasa kwa maslahi ya wachache.

Kuna kila dalili kuwa kuna kikundi cha watu wenye maslahi binafsi ambacho kimemgundua kuwa hana uwezo wa kufikiri kwa kina, hivyo kimemchagua kuwa kipaza sauti chao katika kufanikisha malengo yao ya siri. Wanamtumia kama daraja la kupitishia ajenda za upotoshaji huku yeye mwenyewe akibaki kuwa mtazamaji wa kile kinachoendelea kwa niaba yake.

Kwa vyovyote vile, taifa linahitaji viongozi wenye fikra pana, wanaoelewa dhamana waliyonayo kwa wananchi.

Gwajima, kwa mwenendo wake wa sasa, hana faida yeyote kwa taifa hili, si katika siasa, si katika dini, na wala si katika jamii.

Ni wakati sasa kwa wananchi kuwa makini na kutambua ni nani anastahili jukwaa la kitaifa na nani ni kelele zisizo na mwelekeo.
akili ndogo inapoijadili akili kubwa
 
We una mchango gani zaidi ya mbolea tu?
 
Mpaka sasa haijulikani Gwajima kafanya kosa gani. Na hakuna hata mmoja aliyejitokeza kujibu hoja zake kuhusu utekaji. Matokeo yake mnajitokeza usiku mkubwa na vinyuzi vya ad hominem attacks na character assassination.

Ndiyo. Ni kweli. Gwajima hana mchango wo wote katika taifa hili. Na ni mtu wa hovyo asiyefaa kitu pamoja na kwamba ni mbunge na MNEC huko CCM. Yote sawa. Vipi kuhusu hoja zake kuhusu utekaji? Kwa nini hizo hamzijibu mpaka leo tunaingia wiki ya tatu tangu ahoji? Kwa nini? 😳
You can say that again.
 
Hafiki Oktoba, atakuwa kaburini. Marehemu mtarajiwa anapoukaribia mwisho wake huwa na vituko vya ajabu sana.

Apewe muda, asamehewe, kwani Nabii mmoja alitabiri kuwa jamaa hatofika Oktoba kwa sababu kifurushi chake cha pumzi kitakwisha kabla ya Oktoba.

Atakata moto akiwa usingizini.
Angalia,

Mchimba mashimo huwa ni sharti aingie Yeye kwanza !

Na Gwajima Hafi, amekataa kusaini death warrant yake.

Endeleeni na uchawi wenu.
 
Katika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa.

Hata hivyo, yapo majina ambayo yanapojitokeza kwenye majukwaa ya siasa, hugeuka chanzo cha mtafaruku, kejeli, na migawanyiko badala ya kuwa taa ya matumaini kwa wananchi. Miongoni mwao ni Josephat Gwajima.

Gwajima amekuwa akijitokeza mara kwa mara na kauli tata zisizo na tija kwa taifa. Kwa macho ya wengi, ni dhahiri kuwa hana mchango wowote chanya kwa maendeleo ya kitaifa.

Badala ya kutumia nafasi aliyonayo kuhamasisha mshikamano, elimu, na ustawi wa jamii, Gwajima amegeuka kuwa chombo cha kuvuruga amani ya fikra za Watanzania kwa kauli za kijinga na zenye misingi ya kutumika kisiasa kwa maslahi ya wachache.

Kuna kila dalili kuwa kuna kikundi cha watu wenye maslahi binafsi ambacho kimemgundua kuwa hana uwezo wa kufikiri kwa kina, hivyo kimemchagua kuwa kipaza sauti chao katika kufanikisha malengo yao ya siri. Wanamtumia kama daraja la kupitishia ajenda za upotoshaji huku yeye mwenyewe akibaki kuwa mtazamaji wa kile kinachoendelea kwa niaba yake.

Kwa vyovyote vile, taifa linahitaji viongozi wenye fikra pana, wanaoelewa dhamana waliyonayo kwa wananchi.

Gwajima, kwa mwenendo wake wa sasa, hana faida yeyote kwa taifa hili, si katika siasa, si katika dini, na wala si katika jamii.

Ni wakati sasa kwa wananchi kuwa makini na kutambua ni nani anastahili jukwaa la kitaifa na nani ni kelele zisizo na mwelekeo.
Wewe una mchango gani?
 
Ilitangazwa Jumapili iliyopita angefanya press!! Ikaishia hivyohivyo...au kashadakwa maana Tz ni moto wa kuotea mbali. Serikali ikikutaka ni dakika tu kukupata.
Umeandika kichawa sana. Jibuni hoja zake kuhusu utekaji.
 
Umeandika kama wale wanawake ambao mume wake wanamfumania kitandani utupu na mwanaume mwingine ghafla,wanakurupuka kauli yake ya kwanza anamwambia "it's not what you think,i can explain".

Yaani wewe wakuja hapa kutufundisha sisi watu wazima na akili zetu kutambua nani anayesimama na raia na nani anahujumu raia?

So kwa akili zako hizo za kuvukia barabara hebu tuambie Gwajima anamponda nani,anaponda raia wenzake au anaponda serikali inayofedhehesha raia?

Yoyote anaesimama na raia ndie tunaemtaka,wewe kasimame na hao ambao hawasimami na raia.
 
Gwajima ameingia kwenye historia katika kupinga, kupambana na kutokubaliana na utekaji, mauaji, utesaji na dhuluma za haki ya kuishi.

Historia haitafutika, hata kama atadondoka leo ataheshimika kwa mchango wake na atakumbukwa vizazi na vizazi.
Hivo unasema wewe ila vijana wanamkumbuka kwa kucheza viclip vya ngono ..ni porno masta na internet ilivokuwa haina kikomo ile clip hadi vitukuu vyake wataoneshwa akimpumulia demu wako.
 
Hayo ni mambo yake binafsi kijana. Achana na personal issue wakati tunajadili hoja za masilahi ya taifa. Akimpumulia demu wangu ni sawa, je, ulitaka upumuliwe wewe? Je,, wewe ni shoga na unatamani kupumuliwa?
 
Hata kama lkn alichokiongea kuhusu utekaji ni sahihi.

Hayo ni mambo yake binafsi kijana. Achana na personal issue wakati tunajadili hoja za masilahi ya taifa. Akimpumulia demu wangu ni sawa, je, ulitaka upumuliwe wewe? Je,, wewe ni shoga na unatamani kupumuliwa?
Personal issue inakwenda viral ? on how ..unatetea uchafu just kutaka kujistify ya point mbona yako hujaweka ukiliwa tako ilo na lilivo nene basi lazima vijana wakupigie puchu.
 
Hafiki Oktoba, atakuwa kaburini. Marehemu mtarajiwa anapoukaribia mwisho wake huwa na vituko vya ajabu sana.

Apewe muda, asamehewe, kwani Nabii mmoja alitabiri kuwa jamaa hatofika Oktoba kwa sababu kifurushi chake cha pumzi kitakwisha kabla ya Oktoba.

Atakata moto akiwa usingizini.
Watakua wote na mtia Nia unaempigania au yeye peke yake!!?

Kwanini uamini ni yeye pekee coz ya Mungu ni mengi au we wasemaje!!?
 
Personal issue inakwenda viral ? on how ..unatetea uchafu just kutaka kujistify ya point mbona yako hujaweka ukiliwa tako ilo na lilivo nene basi lazima vijana wakupigie puchu.
Tuki record na yakwako binafsi ya chumbani yataonekanaje Kwa jamii!!?au wewe ni bikrah maria!!?au yesu wa Nazareth hujawahi!!?

Kuna mwenye uhai hajawahi Hadi anapokua mtu mzima kama sio towashi!!?

Tatzo ni record tu iliyonaswa yakinaswa na ya wengine nani atapona!!?

Jaribu kuwaza na kuwazua!!
 
Back
Top Bottom