Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
akili ndogo inapoijadili akili kubwaKatika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa.
Hata hivyo, yapo majina ambayo yanapojitokeza kwenye majukwaa ya siasa, hugeuka chanzo cha mtafaruku, kejeli, na migawanyiko badala ya kuwa taa ya matumaini kwa wananchi. Miongoni mwao ni Josephat Gwajima.
Gwajima amekuwa akijitokeza mara kwa mara na kauli tata zisizo na tija kwa taifa. Kwa macho ya wengi, ni dhahiri kuwa hana mchango wowote chanya kwa maendeleo ya kitaifa.
Badala ya kutumia nafasi aliyonayo kuhamasisha mshikamano, elimu, na ustawi wa jamii, Gwajima amegeuka kuwa chombo cha kuvuruga amani ya fikra za Watanzania kwa kauli za kijinga na zenye misingi ya kutumika kisiasa kwa maslahi ya wachache.
Kuna kila dalili kuwa kuna kikundi cha watu wenye maslahi binafsi ambacho kimemgundua kuwa hana uwezo wa kufikiri kwa kina, hivyo kimemchagua kuwa kipaza sauti chao katika kufanikisha malengo yao ya siri. Wanamtumia kama daraja la kupitishia ajenda za upotoshaji huku yeye mwenyewe akibaki kuwa mtazamaji wa kile kinachoendelea kwa niaba yake.
Kwa vyovyote vile, taifa linahitaji viongozi wenye fikra pana, wanaoelewa dhamana waliyonayo kwa wananchi.
Gwajima, kwa mwenendo wake wa sasa, hana faida yeyote kwa taifa hili, si katika siasa, si katika dini, na wala si katika jamii.
Ni wakati sasa kwa wananchi kuwa makini na kutambua ni nani anastahili jukwaa la kitaifa na nani ni kelele zisizo na mwelekeo.
Katika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa.
Hata hivyo, yapo majina ambayo yanapojitokeza kwenye majukwaa ya siasa, hugeuka chanzo cha mtafaruku, kejeli, na migawanyiko badala ya kuwa taa ya matumaini kwa wananchi. Miongoni mwao ni Josephat Gwajima.
Gwajima amekuwa akijitokeza mara kwa mara na kauli tata zisizo na tija kwa taifa. Kwa macho ya wengi, ni dhahiri kuwa hana mchango wowote chanya kwa maendeleo ya kitaifa.
Badala ya kutumia nafasi aliyonayo kuhamasisha mshikamano, elimu, na ustawi wa jamii, Gwajima amegeuka kuwa chombo cha kuvuruga amani ya fikra za Watanzania kwa kauli za kijinga na zenye misingi ya kutumika kisiasa kwa maslahi ya wachache.
Kuna kila dalili kuwa kuna kikundi cha watu wenye maslahi binafsi ambacho kimemgundua kuwa hana uwezo wa kufikiri kwa kina, hivyo kimemchagua kuwa kipaza sauti chao katika kufanikisha malengo yao ya siri. Wanamtumia kama daraja la kupitishia ajenda za upotoshaji huku yeye mwenyewe akibaki kuwa mtazamaji wa kile kinachoendelea kwa niaba yake.
Kwa vyovyote vile, taifa linahitaji viongozi wenye fikra pana, wanaoelewa dhamana waliyonayo kwa wananchi.
Gwajima, kwa mwenendo wake wa sasa, hana faida yeyote kwa taifa hili, si katika siasa, si katika dini, na wala si katika jamii.
Ni wakati sasa kwa wananchi kuwa makini na kutambua ni nani anastahili jukwaa la kitaifa na nani ni kelele zisizo na mwelekeo.
You can say that again.Mpaka sasa haijulikani Gwajima kafanya kosa gani. Na hakuna hata mmoja aliyejitokeza kujibu hoja zake kuhusu utekaji. Matokeo yake mnajitokeza usiku mkubwa na vinyuzi vya ad hominem attacks na character assassination.
Ndiyo. Ni kweli. Gwajima hana mchango wo wote katika taifa hili. Na ni mtu wa hovyo asiyefaa kitu pamoja na kwamba ni mbunge na MNEC huko CCM. Yote sawa. Vipi kuhusu hoja zake kuhusu utekaji? Kwa nini hizo hamzijibu mpaka leo tunaingia wiki ya tatu tangu ahoji? Kwa nini? 😳
Akili kubwa huishia kujigamba tu badala ya kujibu au kujenga hoja?akili ndogo inapoijadili akili kubwa
Angalia,Hafiki Oktoba, atakuwa kaburini. Marehemu mtarajiwa anapoukaribia mwisho wake huwa na vituko vya ajabu sana.
Apewe muda, asamehewe, kwani Nabii mmoja alitabiri kuwa jamaa hatofika Oktoba kwa sababu kifurushi chake cha pumzi kitakwisha kabla ya Oktoba.
Atakata moto akiwa usingizini.
Wewe una mchango gani?Katika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa.
Hata hivyo, yapo majina ambayo yanapojitokeza kwenye majukwaa ya siasa, hugeuka chanzo cha mtafaruku, kejeli, na migawanyiko badala ya kuwa taa ya matumaini kwa wananchi. Miongoni mwao ni Josephat Gwajima.
Gwajima amekuwa akijitokeza mara kwa mara na kauli tata zisizo na tija kwa taifa. Kwa macho ya wengi, ni dhahiri kuwa hana mchango wowote chanya kwa maendeleo ya kitaifa.
Badala ya kutumia nafasi aliyonayo kuhamasisha mshikamano, elimu, na ustawi wa jamii, Gwajima amegeuka kuwa chombo cha kuvuruga amani ya fikra za Watanzania kwa kauli za kijinga na zenye misingi ya kutumika kisiasa kwa maslahi ya wachache.
Kuna kila dalili kuwa kuna kikundi cha watu wenye maslahi binafsi ambacho kimemgundua kuwa hana uwezo wa kufikiri kwa kina, hivyo kimemchagua kuwa kipaza sauti chao katika kufanikisha malengo yao ya siri. Wanamtumia kama daraja la kupitishia ajenda za upotoshaji huku yeye mwenyewe akibaki kuwa mtazamaji wa kile kinachoendelea kwa niaba yake.
Kwa vyovyote vile, taifa linahitaji viongozi wenye fikra pana, wanaoelewa dhamana waliyonayo kwa wananchi.
Gwajima, kwa mwenendo wake wa sasa, hana faida yeyote kwa taifa hili, si katika siasa, si katika dini, na wala si katika jamii.
Ni wakati sasa kwa wananchi kuwa makini na kutambua ni nani anastahili jukwaa la kitaifa na nani ni kelele zisizo na mwelekeo.
Umeandika kichawa sana. Jibuni hoja zake kuhusu utekaji.Ilitangazwa Jumapili iliyopita angefanya press!! Ikaishia hivyohivyo...au kashadakwa maana Tz ni moto wa kuotea mbali. Serikali ikikutaka ni dakika tu kukupata.
Unajua maana ya hoja?Umeandika kichawa sana. Jibuni hoja zake kuhusu utekaji.
Mmepotoka mnoo!! Mnafanyaje siasa kwenye nyumba za ibada.Wewe una mchango gani?
Hivo unasema wewe ila vijana wanamkumbuka kwa kucheza viclip vya ngono ..ni porno masta na internet ilivokuwa haina kikomo ile clip hadi vitukuu vyake wataoneshwa akimpumulia demu wako.Gwajima ameingia kwenye historia katika kupinga, kupambana na kutokubaliana na utekaji, mauaji, utesaji na dhuluma za haki ya kuishi.
Historia haitafutika, hata kama atadondoka leo ataheshimika kwa mchango wake na atakumbukwa vizazi na vizazi.
Hayo ni mambo yake binafsi kijana. Achana na personal issue wakati tunajadili hoja za masilahi ya taifa. Akimpumulia demu wangu ni sawa, je, ulitaka upumuliwe wewe? Je,, wewe ni shoga na unatamani kupumuliwa?Hivo unasema wewe ila vijana wanamkumbuka kwa kucheza viclip vya ngono ..ni porno masta na internet ilivokuwa haina kikomo ile clip hadi vitukuu vyake wataoneshwa akimpumulia demu wako.
Hata kama lkn alichokiongea kuhusu utekaji ni sahihi.
Personal issue inakwenda viral ? on how ..unatetea uchafu just kutaka kujistify ya point mbona yako hujaweka ukiliwa tako ilo na lilivo nene basi lazima vijana wakupigie puchu.Hayo ni mambo yake binafsi kijana. Achana na personal issue wakati tunajadili hoja za masilahi ya taifa. Akimpumulia demu wangu ni sawa, je, ulitaka upumuliwe wewe? Je,, wewe ni shoga na unatamani kupumuliwa?
Watakua wote na mtia Nia unaempigania au yeye peke yake!!?Hafiki Oktoba, atakuwa kaburini. Marehemu mtarajiwa anapoukaribia mwisho wake huwa na vituko vya ajabu sana.
Apewe muda, asamehewe, kwani Nabii mmoja alitabiri kuwa jamaa hatofika Oktoba kwa sababu kifurushi chake cha pumzi kitakwisha kabla ya Oktoba.
Atakata moto akiwa usingizini.
Tuki record na yakwako binafsi ya chumbani yataonekanaje Kwa jamii!!?au wewe ni bikrah maria!!?au yesu wa Nazareth hujawahi!!?Personal issue inakwenda viral ? on how ..unatetea uchafu just kutaka kujistify ya point mbona yako hujaweka ukiliwa tako ilo na lilivo nene basi lazima vijana wakupigie puchu.