Gwajima hawezi kujibiwa kwa propaganda za kitoto. Watanzania ni watu waelewa wanajua mbivu na mbichi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kuleta propaganda yaani uongo kwenye siasa ili kurubuni watu ni upuuzi.

Fikiria mzee Ali Kibao alivyowauma Watanzania. Yaani mchana kweupe watu wanamchukua kama kuku na kisha kuuliwa

Alafu tunaambiwa kuwa kifo ni kifo tu...

Leo wanaibuka Masheikh, Wasanii machawa, wapuuzi wajinga na wapumbavu wanataka kuamisha umma kuwa Gwajima ni mropokaji.

Acheni ujinga na upuuzi. Ukweli aliosema Askofu Gwajima ujibiwe kwa hoja sio kwa propaganda za kijinga.

Mfano hai, yuko wapi Mdude Nyagali? Soka, na hao 83+
 
Mmeshamsahau Lissu wakuu?

Mbona ghafla sana ?
 
Yaani wote wanaruka na kukanyagana wenyewe tu, mpaka hata watoto wanawashangaa
 
Hivi Gwajima ndio ameamja kukimbia kabisa ? Au ni movie ilikuwa ya kupoteza habari za Lissu? Kama ni hivyo wamefanikiwa pakubwa
 
Nyie ni bora mkawa mnaandika No reform no election mpka uchaguzi uishe Raisi tutaemchaguwa kwa haki aapishwe then bangi zenu mpeleke uko.
Mada zingine mnaleta hatuelewi
 
Back
Top Bottom