Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Mshajibu kuhusu utekaji na mauaji? Achana na kanisa inahitaji akili kubwa sio level yako ni ya mamaHueleweki.
Mshajibu kuhusu utekaji na mauaji? Achana na kanisa inahitaji akili kubwa sio level yako ni ya mamaHueleweki.
Ka hio Gwajima mwanzoni alijenga kanisa linalokidhi vigezo baadae akaliharibu likawa halikidhi vigezo?Taasisi nyingi tu zinaanzishwa na baadaye kukiuka sheria. Ilipaswa kumpa Gwajima adhabu kwa makosa yake binafsi ila serikali inaona kuwa kanisa la Ufufuo na Uzima ni mali ya Gwajima.
Hakuna sheria hiyo ila serikali imeona mwanya huo na imeutumia kumwadhibu.
Anataka tufikiri anavyotaka yeyeSababu ya kufungiwa kanisa la Gwajima ni baada ya kukosana na kusuguana na Serikali kuhusu swala la utekaji .
Unaposema mambo ya katoliki sijui Mali ya MTU binafsi unakuwa unaongea mambo ambayo hayana logic
Kabisa lo.