Uchaguzi 2020 Gwajima, Kawe tunakupa miaka mitano!

Hakuna uchaguzi tena Hadi 2040.Mpe 20
 
Wananchi hususa ni wa jimbo la Kawe wana matarajio makubwa sana kwako @ Gwajima !

Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ktk kushirikiana na serikali kuondoa kero, migogoro , changamoto na matatizo hatimae kuleta maendeleo jimboni!

Pia hapo badae baada ya kila kikao cha bunge la bajeti unaweza kuweka tegular roaster ya kutembela wananchi kuchukua kero zao, matatizo, changamoto, migogoro n.k

Kuwapa mrejesho ukishirikiana na serikali, DC Halmashauri n.k

Ijapokuwa utaweza kupata taarifa kupitia serikali za mitaa na Kata lakini pia wananchi usije ukawatelekeza mazima hadi wakati wa.campaign ya uchaguzi Mkuu ujao!

Walau mara moja kwa kila Mwaka waweza watembelea ukawapa mrejesho au kuwasikiliza wao walinayo!

Ni hayo machache.

Umeachiwa deni la kuwajibika wananchi wapo tayari kuwaunga mkono ktk juhudi zenu!
 
Na kama hana mpango wa kukaa zaidi ya miaka mitano?

Amandla...
 
1. Chuo cha uvuvi.
2. Vijana kwenda kusomea uvuvi Japan.
3. Ambulance kila kata. Hajasema za aina gani kwa hiyo akileta za Bajaj itabidi mzipokee.
4. Vijana kwenda Jimbo la Birmingham Marekani.
5. Hamna mafuriko tena.

2025 tutaomba watu wa Kawe mtuonyeshe Boarding Pass zenu.

Amandla...
 
Gwajima nina uhakika atatekeleza yale aliyoahidi kuyafanya.
Na inatia faraja kwamba hata Rais ameona mateso ya jimbo la Kawe kwa muda mrefu sana.
 
Hiyo barabara ya Ndumbwi na Baraza la mitihani hapo mbezi juu huyo b.wege hawezi kufanya kitu huko. akizitengeneza nahama JF
 
Wewe jamaa kama kuna mtu nachukia sana humu kama mnyama ni wewe.Umejaa sana unafki na njaa njaa. Huna msimamo hata kwenye ukweli unahangaika tu
Mbona unamhukumu bure mtoa mada? Yeye aliingia katika kinyang'anyio akashindwa. Amekubali maamuzi ya Chama chake na anampongeza aliyemshinda. Kuna unafiki gani hapo? Kama ni unafiki angekuwa anapiga kelele tangu siku Chama chake kilipomtoa nje katika kinyang'anyio na leo asingekuwa anampongeza aliyemshinda. Kwenye mashindano kuna kushinda na kushindwa. Mstaarabu anakubali matokeo hata kama hayakuwa alivyotarajia. Huo ndio uungwana. Paskali hajaonyesha unafiki wo wote hapo. Hongera kwako Paskali. Leo umeshindwa. Kesho huenda kukawa na matokeo tofauti.
 
Tanzania na afrika iko hapa ilipo kwa sababu ya kuwa na ''watu hasara'' kama wewe! Kama mtu mwenye uwezo wa kutumia electronic device kama wewe anaamini kuwa kazi ya mbunge ni kupiga kelele ili barabara za jimbo lake zijengwe basi uwezo wa wananchi wasiyo na elimu utakuwa uko chini sana. BTW na ikitokea wabunge wote walio bungeni wanajua k ku-lobby na kupiga kelele... ni nini kitatokea? Hapo wala sijazungumzia upande wa huyu tapeli wa ''kufufua watu'', kuogofya watu kwa kuwatisha na mambo ya uchawi ili apate fedha bila kusahau mla kondoo wake...... unayemtuma!
 
Mkuu weka akiba ya maneno yako hado 2025.
 
Hiyo barabara ya Ndumbwi na Baraza la mitihani hapo mbezi juu huyo b.wege hawezi kufanya kitu huko. akizitengeneza nahama JF
Mkuu tafuta kabisa uwanja wa kuhamia, mi nitalipia bando!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…