Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Jun 4, 2025 #21 Bongotunacheza said: Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu. Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri.. Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania Click to expand... Kiki ya Lisu? Kwamba kajikamatisha mwenyewe? Nadhani tusiitumie makalio kufikiria
Bongotunacheza said: Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu. Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri.. Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania Click to expand... Kiki ya Lisu? Kwamba kajikamatisha mwenyewe? Nadhani tusiitumie makalio kufikiria
Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 5,628 Reaction score 6,411 Jun 4, 2025 #22 Umetumia akili mnemba Mkuu.