Wangeingia ndani wakanywa na soda,Huyu gwajima nasikia nyumba yake imezingirwa
Muuweni maana hakuna namnaNadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Mnafiki kuliko Bashite? Au Maharage?Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Your going?!!!Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
BAADA YA KISA -MKASA....Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Bado mnalo kumbwe!!! Ile amri inayowataka kusamehe X 70 kwa siku mmeisahau nini? au ndo ya Kaisali hayo?Habari za wakati wakuu...
Hiyo ni kwa mujibu wa Mch Gwajima kupitia ukurusa wake wa Facebook. Katika kanisa lake la ufufuo na uzima kutakuwa na ugeni mkubwa siku ya Jpili wa mzee aliyemfundisha "kiumbe " nyakati hizo.
Mambo ndio kwaaaanza yanaanza!!
Nipeni popcorn nitafune mimi...[emoji489]
Mkuu huyu gwajima wamemchafua sana jamani khaa mambo ya kupakazia watu wanauza ngada kumbe uongo hii ndio athari yenyewe.... Sasa haya mambo tuyaache tuuuuNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF