Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

kwanini usiseme asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na kwamba ulimwengu wa Bashite umefika!
 
Wachungaji wengi wa makanisa binafsi wapo tofauti sana, muangalie Mzee wa upako, Kakobe na huyu Gwajima yaani wajanja wajanja sana
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!

Vyeti hivyo hivyo vimeharibu maisha ya ndugu zetu watanzania na wengine kupoteza stahiki zao. Amlete tu mana kama swala hili lingeshughulikiwa kwa standard kama za wengine hata yeye Gwajma asingefika huko kote
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
kwahiyo ukimtaarifu mtuhumiwa kuwa njoo kesho nikukamate, huku muhusika anajua atapimwa mkojo na kupekuliwa ndio maendeleo yatakuja?
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja
KUMBE ni umbea nadhani anataka kuthibitisha kuhusu Daudi na PAULO kila JAMBO lina gharama zake mbona jana mlifurahi leo furaha hamuitaki nyie vipi
 
watu nouma sana....yaani nasikia eti baadhi ya tarakimu zimeeshanza kupewa majina!

jamaa 1: kaka, nitajie namba yako ya simu
jamaa 2: bash7778bash9bashbash15 (akiwa na maana 07778090015)
jamaa 1: unasemaje?????!!!

dah!
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Na wengine wako hapa hapa Jukwaani. Bado wamefungwa ktk box.
Sijawahi ona askofu wa mipasho kama huyu! Mijitu imekaa nyuma ya keyboard inashangilia ujinga.
 
Ampakaze mharo na matapishi kwa kusukasuka na kushindilia na rumbesa juu! Alijiamini mnooo..
 
Wazee wa live updates hakikisheni kuwa jumapili mnawahi ibada kama kawa![emoji1]
 
Ampakaze mharo na matapishi kwa kusukasuka na kushindilia na rumbesa juu! Alijiamini mnooo..
 
Ampakaze mharo na matapishi kwa kusukasuka na kushindilia na rumbesa juu! Alijiamini mnooo..
 
Ampakaze mharo na matapishi kwa kusukasuka na kushindilia na rumbesa juu! Alijiamini mnooo..
 
Aisee, Gwajima anakosea sana kwa kuitunishia serikali misuli kwa mwamvuli wa Kanisa, Biblia na U-askofu wake.

Unaelewa, huwa naandika hapa JF kwa kifupi sana wakati mwingine wenye akili wanaelewa ila waliokwisha jazwa upupu wa dini za kigeni zote huwa hawaelewi.

Mfano, Manji aliitunishia sana misuli serikali siku nyingi sana mfano, mwaka 2005 katika serikali ya awamu ya nne (4) juu ya NSSF deal na Ufukwe na kila mtanzania mwenye nia safi kwa Watanzania alielewa kabisa kuwa Manji anaelekea kukwaa jabali sasa hivi habari yake kwisha kabisa.

Sasa, Gwajima naye anaelekea uelekeo ule ule wa Manji.

"No matter he is a bishop or he calls himself as a Bishop, Dr. or whoever he calls himself!

A state will never accept 'the opium of people' to distabilize the fight against drugs and drug lords" The interests of the state always will prevail no matter what it cost to be attained!
For further details refer: Carl Max and Realism Theory By David.

"Time is a Good' Teacher"
 
Maanina wewe utakuwa Bashite [emoji23]
 
.... Umesema '' waliojazwa Upupu wa dini za kigeni'' swali je wewe una dini? If yes ni dini gani ili tujue ni ya asili ya hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…