Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 944
Si mpaka waweze sasa mkuu...Muuweni maana hakuna namna
Si mpaka waweze sasa mkuu...Muuweni maana hakuna namna
Two wrongs don't makeup a right..Mbona Bashite anapotumia dola kufanya siasa hamumuonyi? Tusiwe wanafiki
Wewe acha kabisa hii inaitwa mwaga mboga nimwage ugali.Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Naona anawashika pabaya...
we kila siku uko busy kuwatetea wasukuma wenzio.. kuanzia yule wa magogoni mpaka huyu Bashite.His behavior has been very unseemly.
A man of the cloth comporting himself like a drama queen.
Shame shame shame.
povuuuuMkuu huyu sio kiongozi wa kidini bali ni mjasiriamali katika dini!
mkuu achana nae huyo ni kawaida yake uyo kuwatetea wasukuma wenzie hata yule wa magogoni hua anamteteaYaani we Nyani kwa unavyojinadi kuwa ni mdiaspora tena mkongwe, nilifikiri fikira na mtizamo wako utakuwa umebadilika kidogo na kujitofautisha na fikira na mitazamo ya kijima inayotawala sehemu kubwa ya waTz! Yaani Bashite alivyomlaza lupango Baba Askofu na kumchafulia jina (kumharibia 'brand') kwa tuhuma kubwa za kujihusisha na madawa ya kulevya ambazo hata leo hii hawezi kuonesha kichembe cha ushahidi, ulitaka au kutarajia Baba askofu amwimbie nyimbo za mapambio? Mhe Nape amelieleza vizuri suala la 'brand'. Anachofanya Baba Askofu ni kujaribu kwa resources hizo alizo nazo kurejesha 'brand' yake iliyochafuliwa na mweu.
Za kwenu? Watoe wengine kwa hiari nyie mjadili!!Atapiga sadaka sana
Ingekua wewe nani?si upite tu hata saivi ukawatie hayo mafuta kama unaweza???nyoko wewe?eti hamna mwenye akili hata mmoja..we mwenye nazo umeisaidiaje Tanzania kuondokana na hao wasio na akili....kakojoe ulale hukoKwani watu wanaangaika na hicho kizee kwa nini...ningekuwa mimi napita pale ubungo na semi la mafta nachoma waumini wote mule maana sioni mwenye akili...badala ya kuomba wanaanza masengenyo?....kizee kitakuwa na mtindio wa ubongo sio buree.
Heri wewe umeliona hilo, ninapinga vikali kwa Gwajima kujiita mtumishi huku akipigana vita vya meilini, uu wapi wokovu wake!Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Mkuu kuna watu chuki zimewajaaa hadi kwenye uvungu wa nyeti zao...we km si mmoja wao wa anaetoa hiyo sadaka inakuuma nini?Za kwenu? Watoe wengine kwa hiari nyie mjadili!!
Mimi nilipinga sana ile clips yake ya j2, watu walitoaje povu hapa!Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Kuna Uhuru wa Kuabudu, usisahau.Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo