Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,329
Mkuu sometimes kutokomenti ni bora zaidi. Inamaana kiukweli kabisa hujaelewa logic ya huo ugeni?Huyo mzee ndiye atakuja na cheti cha secondary cha Bashite?
I said few years ago kwenye sakata lake na Pengo kwamba huyo mhuni hata akiendesha misa sebuleni kwangu sioni sababu ya kunifanya niende kumsikiliza as najua lile kanisa ni kutaniko la wapumbavu tu.
Mtu mzima unatoka kwako Jumapili kwenda kwenye ibada kusikiliza udaku?
Watu wanataka vyeti siyo maelezo ya wazee na kama issue ni maelezo kwa nini asitafutwe aliyemfundisha secondary maanake ndiyo kuna daiwa Kuna utata?
Mwalimu wa Primary na Cheti cha Secondary wapi na wapi?
Ni kweli pia huelewi uhusiano wa ushahidi wa elimu ya primary na hicho "kituko" cha form four?
Kukusaidia: Uhusiano wa elimu ya primary na secondary ni JINA! Je primary alitumia jina gani na secondary jina gani?