Nyani mbona unajifanya hufahamu aina hii ya watumishi? Man of the cloth? Huyu? Hivi umeshawahi kusikiliza mahubiri yake na akina mzee wa upako? Mbona ni mipasho all the way. Acha akina Makonda wajifunze kutochokonoa "vichaa" katika hizo career ambition zao. Wao wabakie kuwanyanyasa akina Lowassa, Mbowe, Manji, n.k.; Sio hawa. There is a lesson for some chaps here. Let it sink in.
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Nikweli,embu tusubiri tuone mwisho wake?Nakubaliana na wewe sana tu. Aliyemkosea Gwajima aende akaombe msamaha kwa hakika atasamehewa. Au kwa njia ile ile aliyotangazia umma uovu wa Gwajima, amsafishe kwa njia ile ile. Mbona rahisi tu? Tatizo viburi vimetujaa.
Mbwahaaaaa haaaaa mbwahaaaaaNdo maana Trumpt anataka mrudi kwenu. Mmeenda huko kujaza ujinga.
tueleze wewe unavomjuaHatuna Watumishi, tuna Wasanii...sema ndio hivyo ukisema unakutana na hasira za Wafuasi.
Ila kuhusu Makonda alilikoroga mwenyewe, kwani alikuwa hamjui Gwajima alivyo?
Gwajima ni kati ya maaskofu wachache nchini wasio na unafiki, anakemea uongo uliofanywa na Makonda ili liwe fundisho kwa wengine wanaoishi kwa kununua vyeti.Nadhani huyu Gwajima anajimaliza kabisa. Kwa ni anavyofanya ni mambo ya kihuni kabisa. Sijaoni kiongozi wa kidini Aliya kuwa NA tabia za kihuni kama huyu, kwenye bibi za watu yumo, kuwaharibu dogodogo yumo, kutukana macardinal yumo, siasa za maji taka yumo.
Mungu awaepushe na mtu kama huyu.
Mlizoea wale wa kikatoliki na wengine kuwasifia kila mnapofanya ujinga wenu na kutufifisha akili wa Tanzania kwa kigezo cha watu wa Mungu hawapaswi kuinuka juu ya yeyeyote atakaye wagusa.Nasema hivi mkuu wa mkoa anaijua bible! Kwamba kumwacha mpumbavu akiendelea na upumbavu wewe uliyeujua upumbavu wake ukamnyamazia means dhambi unaibeba wewe! Mwache Askofu amkemee aambiwe ukweli.Aliharibu na yeye aharibiwe,watu wajue ukweli na tunashangaa kwanini vyombo vya dola vinashindwa kufuatilia hii issue.Huyo baba askofu wako anavyo behave sasa hivi naanza kupatwa na imani kuwa huenda kweli anatumia hayo mavitu.
Askofu gani ana behave kama wale wadada watukananao huko Instagram?
Shameful.
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
''Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.''Ahahahaaaaa.....mimi nabeba boksi sio? Kabisa unaamini mimi nabeba maboksi?
Ahahahahaha....ila nilitegemea maneno kama hayo toka kwa mfuasi wa Gwajima.
So no surprise there...
Mbona hata Pengo alilazwa?Mchungaji anagonga sana mlango mwishowe wataamua kumfungulia tena. Ile ndogo tu ya Pengo aliishia TMJ, hoi.
Wote wawili wana makosa kumtangaza mwenzio hadharani na yeye kukutangaza kanisani na kwenye mitandao ya kijamii kila siku, ama kweli mdomo huwaponza wengikakosea sana kutangaza. misa yake inaweza kuingiliwa na dola ikakataza wazee hao kuongea kwa sababu ya kitoto ya dalili za uvunjifu wa amani. alitakiwa apige kimyakimya tu. sijui kwanini watu huwa hawajui kurusha mabomu
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kumtaja mtu hadharani tena kwa mbwembwe huku unajua unaharibu brand unatakiwa uwe makini.Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Mmeguswa mkagusika sasa mmeanza kupagawa! Hata sisi tumewachoka viongozi wa dini wanafiki wanao ona maovu yakitendeka katika nchi yetu na kusifia ilihali wananchi wakitaabika.Huyo mzee ndiye atakuja na cheti cha secondary cha Bashite?
I said few years ago kwenye sakata lake na Pengo kwamba huyo mhuni hata akiendesha misa sebuleni kwangu sioni sababu ya kunifanya niende kumsikiliza as najua lile kanisa ni kutaniko la wapumbavu tu.
Mtu mzima unatoka kwako Jumapili kwenda kwenye ibada kusikiliza udaku?
Watu wanataka vyeti siyo maelezo ya wazee na kama issue ni maelezo kwa nini asitafutwe aliyemfundisha secondary maanake ndiyo kuna daiwa Kuna utata?
Mwalimu wa Primary na Cheti cha Secondary wapi na wapi?
Ila kumbuka dini kaz yake ni kutangaza neno co siasaWacha wafanye wanavyo taka ila wakumbuke maneno ya busara ya baba wa taifa mwl Jk Nyerere kuwa ...SERIKALI HAINA DINI....