Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Nitofauti sana, yeye kachokozwa bila sababu za kitafiti. Nia yake ilikuwa kulibwaga chini neno la mungu lisinenwe na kuinuliwa tena na Gwajima.
Hili watu hawajaliona, wamezoea falsafa za kusamehe. Utamsamehe vipi mtu anataka kukuchinja na bado ni jeuri. Mungu kakuchagua kufanya kazi yake halafu mtu aje aifunike hiv hiv, harafu ugeuze na shavu la pili kwa adui yako, si atakuchinja. Kuweni na maarifa kizazi cha leo mtaangamia.
 
jumapili mashilawadu watajaa kanisani kuliko hata waumini...
na sadaka zitaongezeka..
gwajima ana akili huyu jamaa..
 
vyovyote vile, ila anasaidia kuondoa kibrii, nani anaweza kumfunga paka kengere, mtu alitaka kuitunishia misuri hata mahakama, kwa ubavu gani. NDUGU KAA PEMBENI kidogo

Labda hukunielewa. Simtetei Makonda lakini simuungi mkono Gwajima kama kiongozi wa dini......
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kazia hapohapo Baba askofu dawa imeanza kuingia
 
Nawaza tu ila ingekuwa kwa diwani wa chama chetu kile lazima angeeda kutumikia.
Nafikiri Gwajima atulie sasa kwani tushajua tayari
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-01-16-41-11-1.png
    Screenshot_2017-03-01-16-41-11-1.png
    169.1 KB · Views: 45
Jpili kanisa litafurika sana huyu jamaa anajua pia kucheza na mind za watu..ila Bashite aliingia choo cha kike kwa huyu Gwajima
Kuna watu hawataniwi mkuu.... beki ulijifanya kisiki sana lakin leo utajuta coz forward line ya timu pinzani inaitwa MSR Messi Suares Ronaldo
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Neno la kweli ndio linajenga na Gwajima anafanya juhudi ili watu waijue kweli na kuwa Daudi ni mtu mwenye asili ya uongo kama shetani.
Mbona mapadre na mashehe kila siku toka tunakuwa wanamshambulia shetani tena kwa maneno yale yale? Kwa nini tusiwaambie wamsamehe na kuongelea mengine? Ni kwa sababu shetani lazima apigwe mpaka atakapo sema poo!
Daudi akitaka asamehewe ajitokeze aombe radhi kwa wote aliowachafua na akiri kuwa amekuwa muongo maishani kisha aone kama kuna mtu atamfata tena.
Gwajima hebu walete hao wandugu watoe ushuhuda, mtumishi lazima uweke ukweli wazi maana Daudi katuaminisha unavuta na kuuza unga. Ukinyamaza utadharaulika
 
Biblia yangu Mimi Ina Yesu, yule yule aliyewapiga wafanyabiashara hekaluni...
Biblia yangu Ina Musa, yule yule aliyewaua walinzi wa farao....
Biblia yangu Ina Samsoni, yule yule aliyewaua waflist... Wewe unasoma kitabu gani cha dini kinachoruhusu unyonge??

Twanga baba askofu twanga bashite huyo.
ati wanasema imeandikwa, "akikupiga shavu la kushoto ,geuza na la pili, halafu samehe x70" Sijui maarifa yao wameyakalia wapi
 
Kwa upande wangu inaniwia vigumu kuamini neno lolote linatoka ndani ya kinywa cha Gwajima.
 
Na kwa uharisia gwajima ngada anauza sana tu sema njia iliyotumika kumnasa sio sahihi...over
 
Nadhani huyu Gwajima anajimaliza kabisa. Kwa ni anavyofanya ni mambo ya kihuni kabisa. Sijaoni kiongozi wa kidini Aliya kuwa NA tabia za kihuni kama huyu, kwenye bibi za watu yumo, kuwaharibu dogodogo yumo, kutukana macardinal yumo, siasa za maji taka yumo.

Mungu awaepushe na mtu kama huyu.
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Mpe shetani moyo wako maana anautaka tuone mfano.
maana yake usilete unafiki halafu ukategemea watakupigia makofi.

Ukileta unafiki lazima utulie ukweli ukuingie.
Ndiyo yalee kuchafua majina ya watu bila ushahidi
 
Mkuu, unafanya nini huku? Twende kule ambapo Twaweza wamejibu lile bandiko lako kuhusu njaa! Naomba rejea kama umeshawajibu.

Hahahaaaa unajua nipo hapa nashangaa huu ujinga ujinga mpaka siamini aisee.

Watu wanamshangilia askofu ambaye kavutwa kwenye bwawa la mavi [hivi yale mabwawa 7 bado yapo?] na badala ya kutoka kaamua naye kuogelea humo humo.

Hakuna lolote la maana nchi hii.

Hakika hali tulonayo si bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom