Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Mbona hata daudi bashite alikuwa ana behave kitoto kutangaza majina Yale ya wauza unga akiwa hana ushahid acha hiyo ngoma wachezeee wote tu

Kwa hiyo kama Makonda alikuwa ana behave kitoto Gwajima naye ndo a behave kitoto, siyo?

Hizi ndo reasoning za wafuasi wa Gwajima.

No wonder!
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Asamehe kitu gani? Hata ilifika wakati flani Yesu alitembeza kichapo kwenye soko haijawahi kutokea, usiishie tu kusoma eti alipindua tu meza kwenye synanogue lililogeuzwa kuwa soko...watu walikula kichapo cha mbwa mwizi, Bashite deserves his sticks!
 
Mkuu if my memory saves me right ulitaka ushahidi wa hili, iweje umefura baada ya kusikia Gwajima anakuja na evidence ambazo bado ni tetesi.. I am confused sijaelewa Gwajima kama kweli ataleta ushahidi atakuwa kakosea nini nieleweshe kidogo na mimi slow learner kama Bashite

Huyo mzee ndo atakuwa ushahidi wa hivyo vyeti?

Sasa naanza kupata mwanga wa wafuasi wa huyo Gwajima wakoje.

Sad.
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
HAPO SIO KUSAMEHE BALI KUUWEKA UKWELI WAZI KILA MTU AUONE NA AUSIKIE!
 
Kumbe ndo yale ya akumulikae machana usiku............................haya hii movie ni tamu sana yetu macho.......maana sasa hakuna namna tena.....
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Tulia kaka umeandika page nzima hamna point hivi unakumbuka Gwajima kachafuliwa Jina kisa Unga?? sasa wacha na yeye achafuliwe jina kwa vyeti feki mwaga mboga mwaga ugali
 
Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Biblia yangu Mimi Ina Yesu, yule yule aliyewapiga wafanyabiashara hekaluni...
Biblia yangu Ina Musa, yule yule aliyewaua walinzi wa farao....
Biblia yangu Ina Samsoni, yule yule aliyewaua waflist... Wewe unasoma kitabu gani cha dini kinachoruhusu unyonge??

Twanga baba askofu twanga bashite huyo.
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!

Just a marketing ploy!
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Upo sahihi mkuu, huyu mchungaji gani anatembea na visasi kiasi hichi? au yeye yupo kwenye kundi lile jingine la manabii wa uwongo watakaojitokeza siku za mwisho mwisho maana hao tutawajua kwa matendo yao kama haya.
 
Huo mjumba unabomoka.....huo mjumba ....unabomoka.....wakati wa kubomoka ukifika.....bomo ....bomo....bomoka boooo!!!!!
 
Bado mnalo kumbwe!!! Ile amri inayowataka kusamehe X 70 kwa siku mmeisahau nini? au ndo ya Kaisali hayo?
SUALA HAPO SIO KUSAMEHE, BALI NI UKWELI UMEJULIKANA??? ACHENI UKWELI UANIKWE! KUNA NINI MNATAKA UKWELI UFICHWE??? KWANI DAUDI KAOMBA KUSAMEHEWA???
 
Back
Top Bottom