Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Nilichojifunza katika sakata hili ni kuwa" using`ang`ane kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati kwenye jicho lako kuna bonge la boriti" namaanisha unavyotaka kusema mapungufu ya mwenzio hakikisha wewe upo safi kila idara. Pia tuonyane kwa staha na si kudhalilishana, maana hakuna binadamu aliye mkamilifu wote tuna mapungufu, japokuwa tunazidiana kidogo. Kila kitu malipo hapa hapa pole sana Bashite[emoji26] hii ndo dunia, mwosha naye huoshwa. Upepo huu ukipita jirekebishe.
 
Kumbe ndio maana nyumba yake imezingirwa na polisi muda huu
 
...samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?.

Unaanzaje ''kusamehe na kusahau'' mtu ambaye hajaomba msamaha? Si Daudi alipewa muda wa kuomba poo ila amemute tu kwa kibrii chake?
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!


Mkuu huyu sio kiongozi wa kidini bali ni mjasiriamali katika dini!
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Amsamehe nani aliyemkosea?

Si mlisema yule bwana hakukosea alikuwa anatimiza wajibu wake? Sasa vipi leo mumuombee msamaha? Bwana Mchunga Kondoo hapaswi kuwa mnafiki, anapaswa kuwa mkweli. Na sasa ndio wakati nitamuomba Mchunga Kondoo atuwekee ukweli hadharani maana KWELI ndio huleta HAKI.

Karibuni wazee kutoka Kolomije.
 
ibada saa ngapi?
nataka nijue ili nipite mapema kabla foleni haijaanza
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Ila mungu makonda pamoaja na madawa ya kuevya ndio yatawapeleka mbinguni mkuu
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!

Man, usisahau kabisa kwamba we are BLACK...pitia tena signature yako
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
rosemarie, hayajakufika! mtu akijitokeza hadharani akasema (samahani, najaribu kukupa mfano kuwa kuna vitu vinakera) kuwa umezaa na baba yako, au unafanya biashara ya sodomy anayetaka aje kwako- utamsamehe kuwa ngoja yapite, Yesu alisamehe? (Narudia samahani natoa mfano tu kuonyesha uhalisia). Atakuwa amekuharibia usichana wako na inawezekana usiolewe tena maishani....Kuambiwa kuwa unavuta unga, ni kuwa mtu amekumaliza! Kuna watakao baki na wasiwasi kuwa ni kweli serikali iliamua kufunika kombe mwanaharamu apite.. kuna watakaobaki na kuamini kuwa Gwajima ni mvuta cocaine, bangi and the like! na mfanya biashara ndio utajiri alio nao!...... (narudia samahani tena, ni mfano tu)
 
Ya Gwajima mwachie Gwajima mwenyewe! Yeye ndie aliyelala lockup, sio wewe, tumuache aamue njia sahihi ya kudeal na masahibu yake, Gwajima is an adult, na badala yake mpe nasaha Bashite ajifunze kuwa na kiasi, madaraka yanapita tu lakini maisha yataendelea!
Usisahau kumkumbusa gwajima kumrudishia mb..sha mke wake
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mkuu huwezi pigana vita kwa kutumia modern weapons na waasi wanaotumia mapanga na marungu,Bashite hili suala alilianzisha kidrama sasa acha pia ajibiwe kidrama drama
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Yaani we Nyani kwa unavyojinadi kuwa ni mdiaspora tena mkongwe, nilifikiri fikira na mtizamo wako utakuwa umebadilika kidogo na kujitofautisha na fikira na mitazamo ya kijima inayotawala sehemu kubwa ya waTz! Yaani Bashite alivyomlaza lupango Baba Askofu na kumchafulia jina (kumharibia 'brand') kwa tuhuma kubwa za kujihusisha na madawa ya kulevya ambazo hata leo hii hawezi kuonesha kichembe cha ushahidi, ulitaka au kutarajia Baba askofu amwimbie nyimbo za mapambio? Mhe Nape amelieleza vizuri suala la 'brand'. Anachofanya Baba Askofu ni kujaribu kwa resources hizo alizo nazo kurejesha 'brand' yake iliyochafuliwa na mweu.
 
Back
Top Bottom