Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Alisema mm nkitaka nakulipua mpaka unapotea[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Sasa hivi mmeacha kukanusha mmeanza kuomba msamaha... Tulieni dawa iwaingie
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Alionya kama hakuna hatua zozote juu ya Makonda zitakazochukuliwa na mamlaka, basi yeye ataendelea kuyaanika. HAYO SASA.
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Mkuu vipi kuhusu ile vita ya mapenzi??ndo kutajana huko sasa
Cc:gwajima,ndo nawasha moto
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Vipi Umepona stroke ?
 
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu.unataka gwajima aseme uwongo?
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Tulia dawa ikuingie vizuri..
Acha kurusha rusha mguu.
Mwafaaaaaaaa na Li Bashite lenu.
 
Kusema ukweli siku hizi imekua ni siasa?
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Sawa tunashauriwa hivyo lakini ushauri sio ushawishi kakangu, mbona kuna amri kumi za Mungu na bado hatuzitii ipasavyo?! Mwacheni Gwajima ashighulike na Coke Bashite vyoyote itakavyompendeza!
 
Dini nazo siku hz zinahitaji promo kama "HALICHACHI" sasa kulikua na haja gani ya kutangaza huo ujio leo kama sio promo@work........... Pole Africa yangu
 
Alichokozwa lakini,tumuombe tu asamehe,sio siasa anajitetea
Mtumishi wa Mungu anamtegemea Mungu,anapambana kiroho sio kimwili..
Na mapambano ya kiroho ni kumsamehe mtu sio kuhubiri kiroho upate sadaka!
 
Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Kuna watu sjui niakili zao au sjui ni upumbavu wao, hivi ww unayesema huyo mtumishi wa MUNGU ni mnafiki sana kwa lipi haswa hata useme hayo?kwann hukuyasema hayo kwa huyo mwingine kwa hiyo kuna mwenye mamlaka ya wengine kumchafua mwingine lkn nikosa kumsema yule aliyemkosea?ww ni mpumbavu tena mjinga huna tofauti na watu wa sodoma na gomora, yawezeka ww ni nyumbu.
 
Jamn duniani samehe Mara saba sabini,namkubali sana mchungaji Gwajima,lakini baba chonde chonde tunaomba umsamehe Makonda wewe ni mchungaji usimpige mpaka akapotea[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamani simpendi mtu kama Bashite lakini Gwajima anamuumbua jamani,tunaomba umsamehe askofu hajua alitendalo tafadhali,tunaounga mkono Bashite asamehewe tunaomba mtoe neno askofu gwajima alisome tunajua yuko hapa
Nawasilisha wadau michango yenu nahitaji tumuokoe bwana mdogo asamehewe
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Mkiristo uliyemeza!
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kwani huyo RC Makonda keshamuomba msamaha?
 
Back
Top Bottom