Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Maendeleo yapi unayoyasema yaliyoshindwa kuja kwa miaka zaidi ya hamsini ndo yaje yaletwe na vihiyo!!
 
asee hata mm muislam ntaenda kanisan maana kuna episode znaendelea ctak kupitwa daaah daud kazi unayo kweli akuanzae mmalize gwajima anaitendea haki kauli hii
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Hapana hiyo ndiyo dawa pekee ya kumaliza hili tatizo
 
Tulia wewe kula kulala.....!alichokifanya Bashite unafkr ni kidogo.......?hivi Leo hii akiambiwa amsafishe Gwajima ataweza....?kwanza huyu bwana mdg Bashite wkt anatangaza Yale majina feki ya wauza unga alikuwa anaongea kwa dharau sana akifikiri Yale majina ni madogo kama alivyofikiri.....?sasa cha moto atakiona......!huku Mbowe mahakamani huku Gwajima na vyeti feki na sasa anamleta Mzee anayemjua Bashite vzuri nina uhakika j2 waandishi wa habari watasali ktk kanisa la ufufuo na uzima ili wapate hbr na huku familia ya Wema wakisambaza sauti ya kwamba alishawahi kutaka papuchi kwa madame lkn hakukidhi vigezo....!hii cinema tamu sana......!

Ona sasa hata hiyo reasoning!

Ndo maana uko mfuasi wake.
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Mbona hata daudi bashite alikuwa ana behave kitoto kutangaza majina Yale ya wauza unga akiwa hana ushahid acha hiyo ngoma wachezeee wote tu
 
Habari za wakati wakuu...


Hiyo ni kwa mujibu wa Mch Gwajima kupitia ukurusa wake wa Facebook. Katika kanisa lake la ufufuo na uzima kutakuwa na ugeni mkubwa siku ya Jpili wa mzee aliyemfundisha "kiumbe " nyakati hizo.


Mambo ndio kwaaaanza yanaanza!!


Nipeni popcorn nitafune mimi...[emoji489]
Hii ni habari njema sana kwa mamilioni ya watanzania
 
Duh. Japo sijui hili kanisa lilipo itabidi jumapili nihudhurie. Hakuna namna tena.
 
Ujumbe kwa Daudi Bashite - Usirushe mawe wakati unaishi kwenye Jumba la vioo!! Wamesema polisi tayari wamezingira nyumba ya Gwajima. Hata wakimstopisha kwa hili baadhi ya umma tumeshaamini Mkuu wa mkoa ni criminal!! We will never look at him the same!! The damage is already done!!
 
Naona kama dalili za mtu kufutiwa usajili wa kanisa Ila naomba serikali isifike huko
 
Live coverage kutoka kanisa la ufufuo na uzima.....laivu,laivu,bila chenga,
 
Huyo mzee ndiye atakuja na cheti cha secondary cha Bashite?

I said few years ago kwenye sakata lake na Pengo kwamba huyo mhuni hata akiendesha misa sebuleni kwangu sioni sababu ya kunifanya niende kumsikiliza as najua lile kanisa ni kutaniko la wapumbavu tu.

Mtu mzima unatoka kwako Jumapili kwenda kwenye ibada kusikiliza udaku?

Watu wanataka vyeti siyo maelezo ya wazee na kama issue ni maelezo kwa nini asitafutwe aliyemfundisha secondary maanake ndiyo kuna daiwa Kuna utata?

Mwalimu wa Primary na Cheti cha Secondary wapi na wapi?
 
Gwajima,waumini wake na walimu pamoja na wanakijiji wa kolomije watakao kwenda ni mafyatu...

Gwajima sio muda atakuwa kama kakobe!!
Nitofauti sana, yeye kachokozwa bila sababu za kitafiti. Nia yake ilikuwa kulibwaga chini neno la mungu lisinenwe na kuinuliwa tena na Gwajima.
 
Back
Top Bottom