mnajitekenya na kucheka wenyewe baada ya kuona mmegundulika hila zenu eti ugeni kwikwikwi labda aende tena kenya kukodisha waigiza misukuleNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
naomba Mungu aendelee hivihivi ili amnyooshe bashite. kiburi chote pyuuuuuuuuuNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kabla ya huduma yake kufikia ukingoni @munguwadarisalama atakuwa kashasambaratika mbele ya wanadamu na Mungu mkuu aliye hai.Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
MsukumaNa Gwajima ni kabila gani kwani?
Tulia kaka umeandika page nzima hamna point hivi unakumbuka Gwajima kachafuliwa Jina kisa Unga?? sasa wacha na yeye achafuliwe jina kwa vyeti feki mwaga mboga mwaga ugali
NGOMA DROOKwa hiyo kama Makonda alikuwa ana behave kitoto Gwajima naye ndo a behave kitoto, siyo?
Hizi ndo reasoning za wafuasi wa Gwajima.
No wonder!
Msukuma
There is a human side of a human being... Regardless how religious is he.....His behavior has been very unseemly.
A man of the cloth comporting himself like a drama queen.
Shame shame shame.
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Mbona Mungu akuwasamehe maadui wa Israel Bali aliwapa msaada Israel wa kuangamiza maadui zao, mbona akuwaambia wakeshe wakiwaombea maadui? Kuna wakati wa kuomba na kuna wakati wa kujitetea.Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Ajiuzulu ili asisemwe, vinginevyo, ukimwaga ugali namwaga mboga.Asante nami nimeliona hili naamini Pastor GWAJIMA atazingatia hii......nikweli kijana amekosea Mkubwa aonyeshe Mfano wa Kusamehe.....
Kisasi sijuu yetu....
Kumbe unamtetea Basheti!!Wacha nao waone machungu ya kuwa na vyeti feki.Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Mbona wakati bwana Bashite akichafua majina ya watu akiwatuhumu kuhusika na madawa mlimshangilia? Alituminisha amefanya uchunguzi Wa kina na alikuwa nao ushahidi.Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!