Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Makonda si alisema anaweza akamhamisha mtu yoyote akiona analeta dharau na akaondoka na NDALA zake tu?
Sasa ni wakati wa kutekeleza ule ufalme wake wa kufukuza watu Dar akianzia na Gwajima arudi KOLOMIJE na MALAPA tu ili atuachie chopa yake.
Saa nyingine kuheshimiana ni jambo zuri sana, Gwajima alitajwa hadharani, na Makonda ngoja atajwe hadharani, ila kama Gwajima anazusha basi wamchukulie hatua kali na kama ni kweli Makonda kafoji vyeti basi awajibike.
Mnaotaka Gwajima asamehe mnaonaje mkimuomba Makonda amsamehe Manji na Wema? Makonda ameshasema yeye ni msema kweli na anaongozwa na nguvu za Mungu basi acheni nguvu za Mungu zimuongoze kwenye hili.
Exactly
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Yeye Makonda ni nani wakati kila mfanyakazi ameambiwa ahakikiwe vyeti vyake? Yeye imekuwa zaidi maana vinadhaniwa vina ukakasi. Kama anaona havina ukakasi si atoe watu waache kumfuata. Nyie ni watu wa namna gani mnaona kwa wengine sawa ila kwa makonda mnaingiza udini. Acheni hizo hakuna aliye juu inapokuja swala la elimu na vyeti kuhakikiwa
 
yaani ikiwezekana ambebe hadi Ngariba aliye mtahiri daudi bashite aje atoe ushuhuda kuhusu bashite siku hiyo
 
Kusamehe sio kitu rahisi kwa jambo ambalo ulisingiziwa
Mfano, umefukuzwa kazi kwa jambo ambalo wewe hukulifanya ila kwa saslahi ya wakubwa je, utamsamehe MTU aliyekusababishia matatizo baada ya kubaini kuwa alikutafutia scandal?
Tuache unafiki msamaha unatafsiri tofauti so acheni kila mmoja autafsiri anavyopenda
 
Bashite alipewa siku 3 aombe msamaha amekaidi, sasa ukweli utamuweka huru.
 
Asante nami nimeliona hili naamini Pastor GWAJIMA atazingatia hii......nikweli kijana amekosea Mkubwa aonyeshe Mfano wa Kusamehe.....
Kisasi sijuu yetu....
na boss wake anayempa kichwa, "ai wish acudubi weye"
 
Call me J, wasukuma wakaita koromije [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimesikia wageni watafuatwa na Chopa hiyo jumapili. Kweli Mtumishi wa Mungu kaamua kupigania Brand yake, Nakumbuka alisema amehangaikia kanisa kama miaka 20 leo aje mtoto mdogo tu amuharibie? Hata kama ningekua mimi ningefanya hivi..

Jamani mtakaoenda jumapili tuwasiliane ila na sisi wengine walau tuchangia kidogo mchango wa mafuta kwaajili ya wageni pamoja na chakula na malazi.

Jina la Bwana Lihimidiwe.

# vyetimubashara
 
Kwa hiyo kama Makonda alikuwa ana behave kitoto Gwajima naye ndo a behave kitoto, siyo?

Hizi ndo reasoning za wafuasi wa Gwajima.

No wonder!
Hata Yesu aliwatandika na kumwaga vitu vyao wajinga walipogeuza synagogue kama soko acha huyo makonda ajifunze this time maana hana busara huwez kuchafua watu afu utegemee msamaha. Afu ww unajua kias gan amevunja credibility ya mtumishi wa mungu gwajima .

Nyani ngabu nakuheshimu ila katika hili acha kijana apewe vyake

Kuna ile sheria ya jino kwa jino ipo ndani ya Bible kwahiyo wala siwez kushangaa sana

Ajifunze kwanin mfalme Suleiman aliomba mungu ampe busara na sio nguvu au utajiri.

Lazima awe na nidhamu hii ni nchi ya wote na kuheshimiana ndiyo misingi ya umoja wetu , viburi na dharau kama kiongoz havina msaada wowote
 
Back
Top Bottom