Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Hata mimi najiuliza anakuwa vipi kiongozi wa dini, huku akiwa na maneno na kujibizana na watu bila staha?

Nadhani huyu jamaa anafanya kazi tofauti wito wake wa uchungaji.
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Nilikwambia jana kwamba unafanya utetezi ukanibishia. Kuna kitu unaficha nyuma ya pazia Nyani Ngabu. Hisije kuwa ukada au ukanda
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Mtumishi anafichua uovu mkuu cant you see that ? Hio ni kwa faida daudi aangalie alipojikwaa akatubu
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Samehe tuu mkuu.. manbo ya kiroho sana haya huwezi elewa wewe.. kaongozwa na roho kuyaweka haya wazi ili utukufu ukaonekane kwa watu
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Alikashifiwa mkuu.lengo LA bashite ni mini???kama si kumuharibia jina .mwache apambane
 
Mtumishi wa Mungu anamtegemea Mungu,anapambana kiroho sio kimwili..
Na mapambano ya kiroho ni kumsamehe mtu sio kuhubiri kiroho upate sadaka!
KAJIFUNZE NENO. hivi shetani akikuletea adui wakuue, utasema nasamehe x70
Hapo utakua umetenda kazi ya Mungu aliyokutuma. Lazima upigane kufa kupona kutetea kazi ya Mungu isichafuliwe(usizimwe nayo). Shambulio kwake ni shambulio dhidi ya kazi ya Mungu. Yeye akisamehe nani atamwadabisha huyo bashite wenu. Watu walishasalimu amri. Hii isichanganywe na vita vya madawa, alishachemsha kwenye hiyo vita, ndio mana mkuu kachagua kamishana fasta kuondoa tatizo.
 
Bado mnalo kumbwe!!! Ile amri inayowataka kusamehe X 70 kwa siku mmeisahau nini? au ndo ya Kaisali hayo?
Atakuwa anatumia Agano la Kale.Kuna kipengele kinasema Jino kwa Jino na Jicho kwa Jicho
 
Naona umeelemea upande mmoja tu wa Gwajima, kumbuka Maandiko yanasema apandacho mtu ndicho avunacho. Gwajima hajaanza leo kuletewa chokochoko na watu kama akina Makond*. Udhalimu walioupanda kwa Gwajima ndio wanaouvuna.
Kwahyo unataka Gwajima akaushe tu asiongee kitu? Huoni kama nikuendelea kufuga ngedere kwenye shamba?!
 
Fanya mambo yako yootee ila usithubutu kukutwa na Gwajima wakati una maovu mengi umeyafanya na ukataka kujiinua km mungu wa dsm hakika utajuta.....acha wafu wazikane .................karibu sana dsm wageni kutoka call me je ..
 
tulia wewe daudi anyooshwe. yeye si alimwaga ugali wacha gwaji amwage mboga
 
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
Imempasa kufanya hivyo ili tuepuke watu walikuwa wanasema alipo Yeye na Mungu yupo..
Tazama imeandika mwisho wa ubaya ni fedheha. Gwajima anatimiza maandiko tuu
 
Hata mimi najiuliza anakuwa vipi kiongozi wa dini, huku akiwa na maneno na kujibizana na watu bila staha?

Nadhani huyu jamaa anafanya kazi tofauti wito wake wa uchungaji.

Gwajima anajisafisha baada ya Kiumbe kumuharibia brand yake.Kujisafisha ni kazi kubwa kama alivyodai Mh.Nape.
 
Hata mimi najiuliza anakuwa vipi kiongozi wa dini, huku akiwa na maneno na kujibizana na watu bila staha?

Nadhani huyu jamaa anafanya kazi tofauti wito wake wa uchungaji.
Yeye Makonda ni nani wakati kila mfanyakazi ameambiwa ahakikiwe vyeti vyake? Yeye imekuwa zaidi maana vinadhaniwa vina ukakasi. Kama anaona havina ukakasi si atoe watu waache kumfuata. Nyie ni watu wa namna gani mnaona kwa wengine sawa ila kwa makonda mnaingiza udini. Acheni hizo hakuna aliye juu inapokuja swala la elimu na vyeti kuhakikiwa
 
FB_IMG_1488374725796.jpg
 
Back
Top Bottom