AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 7,069
- 5,899
Safi sana Gwajima, amekopesha sindano mlipe mtarimbo. Hatupendagi ujinga.Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Safi sana Gwajima, amekopesha sindano mlipe mtarimbo. Hatupendagi ujinga.Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Alupokuwa anadhalilishwa yeye mlitoa meno yote nje, mbona hamkumwambia mfalme wenu kwamba anadhalilisha kiongozi wa dini amwite kwa staha? Leo ndo mmejua Gwajima ni kiongozi wa dini si milikuwa mnamtolea maneno machafu na kukashifu huduma yake ya kiroho utafikiri nyie ni watakatifu sana!! Gwajima umepigwa shavu la kulia(mihadarati) aliyekupiga mgeuzie la kushoto(vyeti). Kama hawataki ligi watoe timu uwanjani.
Safi sana muda wote umesema unadhani! , unadhani! vizuri umekuwa mkweli kuwa huna uhakika!Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
hapana ndugu...ngwajima ni binadamu kama wengine ana hisia, hasira, kutotaka kuaibishwa, na sifa zote za binadam...uweke pembeni uchungaji..tumchue yeye kama yeye kama mtu alie aibishwa sana....kama ni kweli anahusika na madawa wamfunge kama inavo wataka kisheria ila kama ilikua kuwachafua na kushusha heshima za watu walizo tengeneza miaka mingi basi anacho kifanya huyu bwana kwa kaka daudi mashite ni sahihi kabisa...Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Watakua wameenda kuwasalimia hao wageni wa mchungajiHuyu gwajima nasikia nyumba yake imezingirwa
Si bora niwe mfuasi wa mchungaji kuliko kuwa mfuasi wa mkuu wa mkoa.Mfuasi mwingine wa Gwajima huyu.
Hahahaaaaa.
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Llokkl
Naomba uwe mfano wa kuigwaml ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembeakutembeaK maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Habari za wakati wakuu...
Hiyo ni kwa mujibu wa Mch Gwajima kupitia ukurusa wake wa Facebook. Katika kanisa lake la ufufuo na uzima kutakuwa na ugeni mkubwa siku ya Jpili wa mzee aliyemfundisha "kiumbe " nyakati hizo.
Mambo ndio kwaaaanza yanaanza!!
Nipeni popcorn nitafune mimi...[emoji489]
hapana ndugu...ngwajima ni binadamu kama wengine ana hisia, hasira, kutotaka kuaibishwa, na sifa zote za binadam...uweke pembeni uchungaji..tumchue yeye kama yeye kama mtu alie aibishwa sana....kama ni kweli anahusika na madawa wamfunge kama inavo wataka kisheria ila kama ilikua kuwachafua na kushusha heshima za watu walizo tengeneza miaka mingi basi anacho kifanya huyu bwana kwa kaka daudi mashite ni sahihi kabisa...
1. kila siku tambua malipo ni duniani hapa hapa
2. muosha huoshwa
3. na tatu insu ya vyeti ni nyeti, watu wengi wamesoma na wanastahili wadhfa mbalimbali lakin hawajazipata kwa sababu zimezibwa na wale ambao ndugu zao wananguvu serikalin na kwenye maofisi mengi sana TZ kwa kutumia vyeti vya kuunga ungaaa........
INAUMA SANA UMESOMA UMEFAURU VIZURI ALAFU KAZI HUPATI KIRAHISI WAKATI HUOHUO UNA MUONA MTU UNAE MJUA ALIKUA KIAZI TU CLASS NA MITIHANI ALIFELI NDO AMEKAA KWENYE KITI CHA ENZI AMBACHO ILITAKIWA UKAE WEWE......
KILA MTU APATE ANACHO STAHILI....................
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
katika viongozi wote wa dini niliowahi kuwasikia na kuwaona,hakuna mpuuzi na mtu wahovyo kamma huyu bwana ,anaacha kuhubiri neno la mungu anageukia kwenye mipasho na hao mazuzu wake utamsikia wanamshangilia,Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Vipofu hao, hata wakifungua hawaoni kitu, UNAJUA ULE USEMI, ai wish acudubi yule, ndio ulichochea mafuta. Sasa acudu bi ndo refa, mchezo unaendelea, kadi nyekundu imekua ngumu kuitoa wakati aliomba kushika kipenga. Mie simo!!Fungua macho hili ni pambano dogo ndani ya vita kubwa
A tiny battle in a big war
Huyo aliyemshuku kumtwisha mzigo hakujua kwamba ana waumini na alitegemea kondoo wake watamwelewaje mtukufu wao?Gwajima anajisafisha ili waumini wake wazidi kutambua kwamba ni msafi.Hakuna ubaya kama anatafuta namna ya kurejesha imani ya waumini.Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Huyu gwajima nasikia nyumba yake imezingirwa