Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

gwajima ni mtumishi wa shetani. Mtumishi wa Mungu haropoki ila anaelekeza na kuvumilia. Ila achezee akili za hao aliowaita. Asipojiangalia kanisa lake litaishia pabaya.
Mtumishi wa mungu na shetani wana alama gani inayotofautisha
 
katika viongozi wote wa dini niliowahi kuwasikia na kuwaona,hakuna mpuuzi na mtu wahovyo kamma huyu bwana ,anaacha kuhubiri neno la mungu anageukia kwenye mipasho na hao mazuzu wake utamsikia wanamshangilia,
pamoja na yote hayo Mungu bado anamtumia, sasa utajaza mwenyewe, mana Mungu ukienda kinyume huchukui dakika utaramba sakafu mana hatakupigania
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Kwenye vyeti feki ndo unajua umbea? Yeye wakati anawataja kwa mbwembwe tena mbele ya vyombo vya habari hukuuona huo umbea?
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
kusamehe alishasamehe. kilichopo hapa sasa ni kutafuta ukweli. je mchungaji kueleza na kutafuta ukweli ni dhambi??? unamwambiaje pascal mayalla aliyehongwa hela ili kumuita gwajima muongo?? tulieni dawa iingie
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kauli za kinyonge hizo.Mungu hapendi dhaifu.angalia kina daudi,kina musa kina samson hawakuwa dhaifu na Mungu aliwachagua.haya mambo ya samehe ni ya juz juz tu.utasameaje mtu alitaka kukuua inamaa akuue unachekacheka tu.Hakuna kitu kama icho Mungu anamlipa kwa uongo wake.
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!

Kwa akili za kuwapa watu madaraka wakati walifoji vyeti waje kuropokaroka tutachelewa sana kuendelea kwa kweli
 
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
Sio siasa anahubiri watu wasiige mfano mbaya wa Makonda.
 
Hivi huyu ni mtumishi wa mungu wa aina gani jaman hivi yeye alivyomtukana Pengo aliona viongozi wa dini walivyo
hata Yesu alivyowashambulia wale wachuuzi/wafanyabiashara kwenye nyumba ya Mungu, hawakumuelewa walimfananisha kama unavyomfananisha huyu. Ni ngumu kuelewa kwa vipofu. Yaani mtu anakuletea uchuuzi wa biashara ya madawa kanisani kwako unamuangalia tu, au wewe ulitaka ambariki, muda wa kusamehe bado kwanza sindano za moto tujifunze
 
53e382462965f3d05e4f9946b2257d78.jpg
 
Jpili kanisa litafurika sana huyu jamaa anajua pia kucheza na mind za watu..ila Bashite aliingia choo cha kike kwa huyu Gwajima
kakosea sana kutangaza. misa yake inaweza kuingiliwa na dola ikakataza wazee hao kuongea kwa sababu ya kitoto ya dalili za uvunjifu wa amani. alitakiwa apige kimyakimya tu. sijui kwanini watu huwa hawajui kurusha mabomu
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Ivyo ivyo hadi ajue utu ni nn
 
Acha amwage ugali na mboga huyu makonda aka daudi bashite anasumbua sana ameyavulia maji nguo acha ayaoge ngwajima walete
 
Back
Top Bottom