Ni bora huyu anayefanya mchana kweupe, hao unaowaamini ambao hawajioneshi huwa wanafanya sirini/gizani makubwa kuliko haya ya huyu bwana.Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Lazima mtazingirwa, jiepushe na kwenda huko.Naenda kuwasikiliza wageni wa kutoka kolomije akiwemo mwalimu wa Mh Mungu wa Boma
Ila mm Roma lakini naenda maana nasikia yeyote tu anaruhusiwa.
Ni bora huyu anayefanya mchana kweupe, hao unaowaamini ambao hawajioneshi huwa wanafanya sirini/gizani makubwa kuliko haya ya huyu bwana.
Funguka usikariri.
Tusubiri..kwaio ni ukweli kuwa jamaa ni bashite???
Call me J
Wewe ushahidi ulikua unataka upi?? Maana haueleweki umelilia ushahidi Unaletewa Mwalim wake wa Primary unapanic.Sasa huyo babu ndo atakuwa ushahidi?
Gwajima fanboy logic😀.
![]()
Kama wanujuana vile ... kwasababu nimejiuliza
Nini ilikua sababu ya hii mechi walio avalia jezi, Mpaka mechi inaisha kweli hawafahamiani hawa mh?
UKO SAWA LAKINI WACHA KWANZA BASHITE AFUNDISHWE KUWA NA ADABU.. VINGINEVYO DOGO ANAWEZA AKAKUFANYIA HATA WEWE UKAAMBIWA NI MUUZA SEMBE UTAJISIKIAJE?Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Wewe ushahidi ulikua unataka upi?? Maana haueleweki umelilia ushahidi Unaletewa Mwalim wake wa Primary unapanic.
Imeandikwa Usimwache Mchawi Aishi.