Mmeanza kusaka msamaha tulieni.Upo sahihi mkuu, huyu mchungaji gani anatembea na visasi kiasi hichi? au yeye yupo kwenye kundi lile jingine la manabii wa uwongo watakaojitokeza siku za mwisho mwisho maana hao tutawajua kwa matendo yao kama haya.
Mmeanza kusaka msamaha tulieni.Upo sahihi mkuu, huyu mchungaji gani anatembea na visasi kiasi hichi? au yeye yupo kwenye kundi lile jingine la manabii wa uwongo watakaojitokeza siku za mwisho mwisho maana hao tutawajua kwa matendo yao kama haya.
Mwalim aliyemfundisha Primary kwa Jina la Daudi.
Jipime kwanza ndiyo uje kwenye viatu vyanguFormulaic Gwajima fanboy retort.
Leo kaka stroke nimekukubali comment yako daaah nyinginezo huwa zanipa stroke tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Jipime kwanza ndiyo uje kwenye viatu vyangu
Ndo maana Trumpt anataka mrudi kwenu. Mmeenda huko kujaza ujinga.
Hata ukikusanya hela yako yote ya kubeba mabox uwezi kununua kiatu ninachovaa. Ungekuwa wa maana usingekuwa mbeba mabox. Njoo nikuajiri uachane na kazi hiyoUnayo hela ya kununua viatu wewe?
Kakupa ukweli. Inauma ehee!!Ona sasa nae huyu...typical mfuasi wa Gwajima.
Hata ukikusanya hela yako yote ya kubeba mabox uwezi kununua kiatu ninachovaa. Ungekuwa wa maana usingekuwa mbeba mabox. Njoo nikuajiri uachane na kazi hiyo
Ngabu,ni sawa anacho fanya Gwajima ni upuuzi na ushenzi,sasa mbona mwenye vyeti asijotekeze?Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Ulitaka wakati akipigwa asijitetee kwa vile yeye ni mchungaji, Mungu humsaidia anayejisaidia.Hata mimi najiuliza anakuwa vipi kiongozi wa dini, huku akiwa na maneno na kujibizana na watu bila staha?
Nadhani huyu jamaa anafanya kazi tofauti wito wake wa uchungaji.
naona umeingia bila breki what do you expect unapomtukana mtumishi wa munguNadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Kubeba box unajua tafsiri yakeAhahahaaaaa.....mimi nabeba boksi sio? Kabisa unaamini mimi nabeba maboksi?
Ahahahahaha....ila nilitegemea maneno kama hayo toka kwa mfuasi wa Gwajima.
So no surprise there...
Kakupa ukweli. Inauma ehee!!
Unaweza kuwa sahihi katika utabiri huo. Mtumishi wa Mungu hutarajiwa kuwa juu kabisa ya kashkash za ulimwengu. LAKINI somo kubwa ni kuwa ni muhimu sana kwa mtu mwenye kujitambua na mwenye staha zake aepuke kabisa kumchokoza "mwendawazimu". Huo ndio ujumbe unaotakiwa kuwafikia wote wanaodhani unaweza kuweka staha pembeni na kumuadhiri kila umuonaye adui. Wengine ni "wehu".Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Pwa ha ha ha.
Gwajima fanboys bana..
Kubeba box unajua tafsiri yake