Ameharibu kutangazaHuyu gwajima nasikia nyumba yake imezingirwa
Ameharibu kutangazaHuyu gwajima nasikia nyumba yake imezingirwa
Nakubaliana na wewe sana tu. Aliyemkosea Gwajima aende akaombe msamaha kwa hakika atasamehewa. Au kwa njia ile ile aliyotangazia umma uovu wa Gwajima, amsafishe kwa njia ile ile. Mbona rahisi tu? Tatizo viburi vimetujaa.Mtumishi wa Mungu anamtegemea Mungu,anapambana kiroho sio kimwili..
Na mapambano ya kiroho ni kumsamehe mtu sio kuhubiri kiroho upate sadaka!
Acha Viroja twende na Hoja.maana ulikomalia sana kuhusu ushahidi wa hili swala.Pwa ha ha ha.
Gwajima fanboys bana..
Unafiki upi mkuu? Hutaki afichue maovu? Msamaha wa makonda ni pale atakapotubu na kuanza kutumia jina lake halisiNadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Tulia dawa iingie huyo Makonda alivyo behave kwa watu wazima uliwahi kumkanya hata siku moja.Kwa hiyo kama Makonda alikuwa ana behave kitoto Gwajima naye ndo a behave kitoto, siyo?
Hizi ndo reasoning za wafuasi wa Gwajima.
No wonder!
Acha Viroja twende na Hoja.maana ulikomalia sana kuhusu ushahidi wa hili swala.
Yani hata haueleweki.
Mkuu unatetea maovu kwa maslahi gani? Hutaki Gwajima afichue maovu? Unajua kanuni za kusamehe?..Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kwanza Pengo hakuwahi kumshitaki Ngwajima.Kipindi kile Gwajima aliposhtakiwa kwa kumwambia mwenzake amekula sijui maharage ya wapi, je ulishauri Kiongozi mwenzake ajiondoe kwenye kesi aloshtakiwa? Pilipili usozila zakuashia nn?
It's not silly Bashite started the fire let him enjoy the heatThat is not war.
It's silliness.
We tushakujua... umekuwa mtetea maovu. Lazima tumuunge mkono rais wetu. Anachofanya Gwajima ni kufichua maovu.Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Haraka ya nini subiri aje usikie atasema nini.Huyo mzee ndo atakuwa ushahidi wa hivyo vyeti?
Sasa naanza kupata mwanga wa wafuasi wa huyo Gwajima wakoje.
Sad.
vip watakuja na vyeti vya bashite au ni longolongo tenaNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Mwalim aliyemfundisha Primary kwa Jina la Daudi.Haya...ngoja nijaribu tena.
Ndiyo, nataka ushahidi.
Huo ushahidi uko wapi?
Tulia dawa iingie huyo Makonda alivyo behave kwa watu wazima uliwahi kumkanya hata siku moja.
Ndo maana Trumpt anataka mrudi kwenu. Mmeenda huko kujaza ujinga.Haya...ngoja nijaribu tena.
Ndiyo, nataka ushahidi.
Huo ushahidi uko wapi?
Namshauri Mzee wangu Magufuli, Makonda ni mchapakazi sana hivyo asisikie la mtu. Hata hivyo kuna watu wengi hapa nchini ni wachapakazi kuliko hao wanajifanya wana vyeti original. Magufuli pima watu kwa utendaji wao wa kazi lakini ukiwapima kwa vyeti ujue utaacha watendakazi wazuri.Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Ha ha ha
Gwajima,waumini wake na walimu pamoja na wanakijiji wa kolomije watakao kwenda ni mafyatu...
Gwajima sio muda atakuwa kama kakobe!!