PreGE2025 Gwajima: Kwenye suala la utekaji sitayumba mpaka waliotekwa wajulikane walipo

PreGE2025 Gwajima: Kwenye suala la utekaji sitayumba mpaka waliotekwa wajulikane walipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini.

Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu.


​
 
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini.

Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu
Kizungu 🐼
 
Ina maana kuna waliotekwa hawajauwawa bado wanashindia uji wafe taratibu eeeeh Ya Allah😪😪😪
 
Na kizungu chà gwajima kimenyooka kiasi kwamba bibi kiziwi hataelewa chochote Hadi aangalie kwenye kamusi ya kizungu
 
Back
Top Bottom