B Blessed Tajiri JF-Expert Member Joined Dec 16, 2023 Posts 284 Reaction score 870 Jun 1, 2025 #1 Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu. Your browser is not able to display this video.
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu. Your browser is not able to display this video.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Jun 1, 2025 #2 Blessed Tajiri said: Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu Click to expand... Kizungu 🐼
Blessed Tajiri said: Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu Click to expand... Kizungu 🐼
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 1, 2025 #3 Aunguwe mkono
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Jun 1, 2025 #4 Safi sana
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,782 Jun 1, 2025 #5 Ina maana kuna waliotekwa hawajauwawa bado wanashindia uji wafe taratibu eeeeh Ya Allah😪😪😪
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,531 Jun 1, 2025 #6 Na kizungu chà gwajima kimenyooka kiasi kwamba bibi kiziwi hataelewa chochote Hadi aangalie kwenye kamusi ya kizungu
Na kizungu chà gwajima kimenyooka kiasi kwamba bibi kiziwi hataelewa chochote Hadi aangalie kwenye kamusi ya kizungu