Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hajachukua waumini wake?Gwajima hata mawakala wa kukusimamia vituoni umewakosa hizo kura utazipata wapi?
Wamemtosa.Hajachukua waumini wake?
Gwajima atapigiwa kura na wakorintho wa kawe peke yao lakini sisi watanzania wa kawe tunaenda na halimaMgombea ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe...
Kesi hizo nizamambo ya siasa au mambo yake binafsi.Mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe...
Hii ni kweli kabisa,miaka mitano alikuwa anashinda mahakamaniMgombea ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe...
Akipigania nini?Hii ni kweli kabisa,miaka mitano alikuwa anashinda mahakamaniView attachment 1608108
Harakati ambazo hazina tija.Akipigania nini?
Unaweza kuziyakinisha hapa?Harakati ambazo hazina tija.
Kuvamia gereza la segerea.Unaweza kuziyakinisha hapa?
Sababu ya kuvamia gereza ilikuwa nini? Hakukua na ulinzi?Kuvamia gereza la segerea.
Hayo maswali ungemuuliza mvamizi,kama hakuna ulinzi mbona alitwangwa virungu?Sababu ya kuvamia gereza ilikuwa nini? Hakukua na ulinzi?
lakini hafahamiki kwa watu wa Kawe.
A😂😂 Hadi waumini wamemtosa duh!Wamemtosa.