Akipigania nini?
Akipigania nini?
Tumbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipigania nini?
Akipigania nini?
Gwajima wewe umaarufu wako ni kumega wake za watu, umevunja ndoa ya Mbasha Mungu akulaani kabisa, au kwa vile mkeo ana sura ya kuzimu ndiyo maana unawagongea wenzako.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa Mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe.
Ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha asubuhi cha mojamoja kwa moja Channel 10. Amesema Mbunge huyo ni maarufu Bungeni na mahakamani lakini hafahamiki kwa watu wa Kawe.
Jimbo la Kawe limekuwa chini ya Mbunge, Halima Mdee kwa tiketi ya CHADEMA kwa miaka kumi. Na katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, Mdee anatetea Jimbo lake kwa tiketi ya CHADEMA.
Gwajima hauzikiGwajima hazuiliki!
Gwajima anatosha!
Gwajima hauziki
Gwajima anakutosha wewe tu.