Uchaguzi 2020 Gwajima: Mtia nia CCM anayewaumiza vichwa Chadema

Uchaguzi 2020 Gwajima: Mtia nia CCM anayewaumiza vichwa Chadema

Mimi ni mwana-CCM lakini sitaki Gwajima awe mgombea wetu hata kwa dawa.

Kwanza ana chuki za wazi dhidi ya makundi mengine ya watu, mfano; hawapendi waislam hata kuwaona (Mdini) na alishaanza kutoa vipeperushi tena kwa lugha ya kisukuma (Mkabila)

Lakini pia huyu bwana atakuwa anakinajisi chama kwani tayari ameshachafuka na ushahidi wa wazi upo.

Kwahiyo kwa maslahi mapana ya nchi na chama huyu bwana ni bora zaidi akiwekwa pembeni maana yeye mwenyewe kashindwa kujitambua na kujiweka pembeni kwa hiyari yake.
Wewe utakuwa mwana CCM uliye katwa mkia bila shaka
 
Gwajima anatudhihirishia kuwa ni multitalented anayo uwezo wa kucheza filamu za ngono na kukana video zake.
Mbona na wewe unanyanduliwa kila siku na usiku waleo waja wamekula kipochi manyoa chako but hatusemi usihukumu kwenye Jambo unalofanya kila siku
 
Religion is no longer business au customers (waumini) are unable to afford price of service.
 
Nitafurah Sana kama huyu tapeli atapitishwa na wahuni wenzake wa CCM kugombea ubunge na hata wapinzani wenyewe wanaomba usiku na mchana huyu mjinga agombee Kawe.

Atapigwa chini mapema mno na tena hata Kwa waislamu waliopo ccm wote watapiga Kura upinzani.

CCM hawatafanya makosa ya kijinga kumpitisha huyu lofa kugombea Kawe Hilo lipo wazi
 
Mimi ni mwana-CCM lakini sitaki Gwajima awe mgombea wetu hata kwa dawa.

Kwanza ana chuki za wazi dhidi ya makundi mengine ya watu, mfano; hawapendi waislam hata kuwaona (Mdini) na alishaanza kutoa vipeperushi tena kwa lugha ya kisukuma (Mkabila)

Lakini pia huyu bwana atakuwa anakinajisi chama kwani tayari ameshachafuka na ushahidi wa wazi upo.

Kwahiyo kwa maslahi mapana ya nchi na chama huyu bwana ni bora zaidi akiwekwa pembeni maana yeye mwenyewe kashindwa kujitambua na kujiweka pembeni kwa hiyari yake.
CLAP 4 U
 
Waislamu wanamuogopa!
Sikutegemea ndugu John, utakuwa mpumbavu kiasi hiki. Wamuogope kwa lipi analoweza kuwafanya.

Huyu ni tishio kwa makanisa yote makongwe, huyu si ndiye aliyemdhalilisha Cardinal Pengo, Huyu si ndie aliyekuwa mshenga wa Lowassa kuingia chadema, na kusema Wakatoliki hawana hati miliki ya uraisi kwa niaba ya wakristo.

John huyu hana shida kwa waislamu, bali ana shida kwenu
 
Gwajima Ni Akili KUBWA ,Aiseee Tanzania kuwa na Viongozi Kama hao Ni Baraka KUBWA ,watu Wanaoongozwaa na Mungu
#Hakikaa TANZANIA mpya inakujaaaa..
#Yajayo Tanzania Yanafurahishaa
 
Hii Inaonesha Gwajima Ni kiongozi Imala
Kila mahari wanamsema yeye TU .# Mti Wenye matunda ndio hupigwa Mawe ,UKIONA Mti haupigwa Mawe ,,,,Ujue hauna matunda...
#Great mind
# Great leader
#
 
Sikutegemea ndugu John, utakuwa mpumbavu kiasi hiki. Wamuogope kwa lipi analoweza kuwafanya.

Huyu ni tishio kwa makanisa yote makongwe, huyu si ndiye aliyemdhalilisha Cardinal Pengo, Huyu si ndie aliyekuwa mshenga wa Lowassa kuingia chadema, na kusema Wakatoliki hawana hati miliki ya uraisi kwa niaba ya wakristo.

John huyu hana shida kwa waislamu, bali ana shida kwenu
Atabadilisha madrasa kuwa Sunday schools!
 
Gwajima kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM atakuwa amekwenda bafuni kuoga akasahau taulo bafuni.akumbuke alichokoza mamba kabla hamjavuka mto kwa kumtukana mkuu wake wa mkoa.asitegemee jina kurudi Bora aendelee na biashara yake ya kanisa ikimshinda arudi misungwi akachunge ngombe.
 
Hivi umesahau kuwa Gwajima amewachimbia waislam maji misikitini au unajitoa ufahamu?
Hujui anavyo wasimanga baada ya kutoa vitu hivyo. Nimeishi kawe mzimuni lilipo kua kanisa lake naelewa ninacho ongea.
 
Hata waislamu wasipo piga kura,

wakristo watampigia kura
Kama anakuja kufungua kanisa sawa, huo unaotoa wewe ni mtazamo wa kidini,na Kwa mtazamo huo hata CCM yenyewe haiwezi kumpitisha kwani mwanasiasa yoyote mtaji wake ni watu, kama yuko radhi kujenga uadui na nusu ya wapiga kura basi ameshashindwa tayari kwani hata hao Wakristo siyo wote watampigia.
 
Back
Top Bottom