Uchaguzi 2020 Gwajima: Mtia nia CCM anayewaumiza vichwa Chadema

1).Ok kadi ya ccm aliipata lini?
2).Vipi? zile pornograph
3).Vipi? kuhusu kuwatafuna wake za waumini?
4).Tunataka aweke hadharani audited financial statement za biashara yake ya kanisa
 
Kati yako mleta uzi na Chadema nani anaumiza kichwa?
 
Huyu aliwahi kusema kwamba hawezi kujishusha hadhi kwa vyeo vya udiwani, ubunge, na hata uraisi kwa sababu ni vyeo vidogo sana kwake . Kwa nini sasa anataka ubunge ???. Huyu ni moja kati ya matapeli wa kisasa katika nchi hii.
Ni mwanadamu kamwe usimwamini kwa maana sio mkamilifu ungemuhukumu kama ni malaika
 
Gwajima anatafuta matusi ya Halima Mdee. Na ya Wanachadema. Matusi ya nguoni na kitandani
 
Bila msaada wa Tume ya Uchaguzi ya CCM anaenda kuwa daraja la kumpitisha Mdee kuwa Mbunge kwa mara nyingin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…