GWAJIMA: Mungu huinua Watu kupitia Watu

GWAJIMA: Mungu huinua Watu kupitia Watu

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Nipo nasikiliza Quote za Askofu Josephat Gwajima
Hakika Mungu huinua Watu kupitia Watu.
 
Ndio maana maarifa watz hayapanuki tunapenda kujifunza kwa wajinga...Huyu gwaji ana double standards kazi kurusha vijembe tuuuu ...huyu ilibidi apimwe mkojo
No body is perfect
Walio sema hawakuongopa pengine Gwajima kuna sehemu mlipishana hii ni sababu yeye si mkamilifu.

Ila kwa speech hii Gwajima is totally correct.
 
Mambo mengine tunayaishi kila siku wala hayahitaji utuonyeshe kwamba gwajiboy ana akili ya ziada sanasana unajilundikia ujinga wake mwisho utakuwa unategemea kwenye kufikiri kwako na sadaka utampelekea bila sababu yeyote.

Haya ni mambo tunayoyaishi kila siku, Sasa unategemea Mungu ainue watu kupitia ng'ombe????

Just jiongeze hakuna jipya Wala la ajabu kwa alichoongea sanasana labda umekuja kumpa promo huyo mzinzi wako na mtoa rushwa mkubwa.
 
Duh!!!

Kama nilivyosema hapo ameongea point kabisa endapo hutomchukulia personal. Jaribu kuacha chuki pembeni harafu utagundua nini amemanisha.
 
Back
Top Bottom