Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hakuna kikundi cha ajabu kama hawa wenzetu waliookoka na kuwa ni watu karibu na Mungu. Ni vigumu sana kuwatenganisha na mchungaji wao. Tumeona na kusikia mengi sana.
CCM nawapongeza sana hasa kamati kuu kwa kumpa nafasi Gwajima kugombea ubunge jimbo la Kawe. Naona aibu anaivuna sasa hivi, naona uhalisia wa elimu yake unajipambazua hivi sasa. Wafuasi wake ama kondoo wake huenda wakashituka juu ya Mchungaji wao.
Gwajima anajizika Gwajima anajifedhehesha. Gwajima hana jipya huyu ni debe tupu. Naomba nikiri kabisa nitapigia kura CHADEMA kwa ubunge jimbo la Kawe, siwezi kuwa mjinga kumpa kura yangu Gwajima[emoji57] huyu ni mtu muongo sana na Mungu kamuweka hadharani jinsi gani anadanganya watu. Wanakawe acha twende na Bi. Kidude aka SAUTI YA ZEGE.