mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Hata alivomshambulia Makonda kanisani ni aibu kwa askofuKuna mdau meona anasema Gwajima kapotea, kapotea, apotee Mara ngapi, afu wengine wanadhani eti kawatupa kondoo, kondoo, kondoo gani, anawachunga ili waende wapi? Mbinguni, mbinguu hii hii inayohubiriwa na Yesu Kristo, au? Huyu ni msakatonge. Hana hekima.
Hana hekima huyu, kuna kipindi, kwa mitazamo mbalimbali, Askofu Pengo alionekana amekosea jambo, Gwajima, askofu huyu, aliinuka na kumuonya Pengo, ndipo Nilipothibitisha kuwa hofu yangu juu ya uaskofu wake kuwa sahihi, Hamna mtumishi wa Mungu anayekosa hekima vile, yani aliongea kihuni na kitoto. Hata alupokuwa akimshambulia Slaa pia, hoja sake always ni za kipumbavu. Ingawa kimhemko tulimpa tano, kama ulimpa tano kwa hoja zake tambua kwamba huna uwezo wa kumtambua mpumbavu, na ulifanya ujinga kumsapoti, lay ulifanya kwa mhemko. Ccm nao hopeless, wanampa jumbo apambane na jembe.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app